Kumekuwa na taharuki kuwa mchezo wa awamu ya pili utapigwa Zanzibar lakini sisi kama taifa tunaweza kufanya hivi ili hii Ngoma ipigwe kwa mkapa
kwamba eneo la uwanja wa Amani, hasa sehemu ya pitch, lifanyiwe marekebisho ya muda ili lisiwe tayari kwa matumizi.
Hii itatupa fursa ya kucheza mechi yetu kwenye Uwanja wa Mkapa. Tuko tayari kugharamia maboresho yoyote yatakayohitajika baada ya hapo, ili kuhakikisha uwanja wa Amani unarudi katika hali yake bora.
Wadau hii mbinu mnaionaje