Tized
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,025
- 5,957
Umesema kuwa usiweke sana akili hapo bali,mke ndo umweke akili yake pale je? Utawezaje kumweka hapo halafu ww umapotezea? Unaweza ukanpa mfano,samahan
Hahahahaha lol!!!! Ulisahau kupita katika ile dept kule kwa Muumba wetu ambayo hugawa tabia za kununanuna sasa inakula kwako lol!!! Aisee niko poa kabisa namshukuru Muumba wetu mwaka huu pia umekuwa mzuri sana kwangu naomba ni hizi siku chache zilizobaki ziishe salama na maandalizi ya Xmas na mwaka mpya ndiyo yanaendelea kwa kasi. Nategemea nawe umzima ukiendelea vizuri na maandalizi ya Xmas na mwaka mpya, kila la heri na baraka katika maandalizi yako.
Hahahaha!! Haya wewe jitape hapa tutakutana kuleee labda usipande....Kaka Mkubwa huyu everlenk ni shemeji yangu hawezi ninunia. Patachimika akinuna. hahahaaaaa.
Kumbe alikuwa ananizuga tu mie "nakununia wewe tu sijui kwanini" lol!!! Hahahahaha sasa ukweli nimeujua Thanks Bro Tized for sharing this info.
Nafurahi kusikia u mzima,na pia nafurahi kusikia huu mwaka umekuwa mwema kwako Mungu azidi kukuneemesha,nawe pia uwe na maandalizi mema ya mwaka mpya na Christmas.
Hahahaha!! Haya wewe jitape hapa tutakutana kuleee labda usipande....
Huyu ni shemeji shemeji wazima taa......Lol
USHAURI: SIKU YA GAME NA KICHENCHEDE CHAKO HAKIKISHA UKIAMKA ASUBUHI USILE KITU CHOCHOTE MPAKA MUDA WA GAME UFIKE NA NDIO UPIGE GAME YAKO NA UKIMALIZA MCHAKATO TU KUNYWA MAJI GLASI. NAWA USO RUDI KWA NYUMBA KUBWA YAKO OMBA GAME NYINGINE TENA.:sleepy:
Asante sana kwa mchango wako mkuu MWALLA. Una point ya msingi sana ila nahofia kama mtu ana gemu usiku halafu siku nzima asile chochote toka asubuhi si atakua weak sana mkuu?
Mkuu MziziMkavu amewahi kulizungumzia hili, akashauri mtu ale chakula cha mwisho masaa sita Kabla ya gemu. Kwamba mtu akifanya hivyo anakuwa na nguvu nyingi zaidi za KIUME unlike nguvu za kawaida. Unaizungumziaje hii kwa upande wako MWALLA.
Asante sana.[/QUOTe
Nimefanya haya Kwa uzoefu
Unakuwa unakula tumbo limeshiba kisha ndio ukafanya hiyo Gemu ya mechi yako kwanza utakuwa hukawi kumwaga mapema na hutakuwa na nguvu za kiume lakaini unapokuwa hujala wala huna njaa kwa mfano umekula asubuhi chakula na ukataka kuafanya mapenzi jioni basi itakuwa vizuri upitishe masaa 6 bila ya kula chakula kizito unaweza kunywa matunda au kahawa au chokoleti lakini sio chakula cha wewe kukufanya ushibe sana hut6oweza kufanya vizuri tendo lako la ndoa. utakuwa unamaliza wewe kumwaga wakati mpenzi wako hajamaliza. Mkuu MWALLAAsante sana kwa mchango wako mkuu MWALLA. Una point ya msingi sana ila nahofia kama mtu ana gemu usiku halafu siku nzima asile chochote toka asubuhi si atakua weak sana mkuu?
Mkuu MziziMkavu amewahi kulizungumzia hili, akashauri mtu ale chakula cha mwisho masaa sita Kabla ya gemu. Kwamba mtu akifanya hivyo anakuwa na nguvu nyingi zaidi za KIUME unlike nguvu za kawaida. Unaizungumziaje hii kwa upande wako MWALLA.
Asante sana.[/QUOTe
Nimefanya haya Kwa uzoefu
Kuna aina 2 ya vyakula ambavyo vimefanyiwa utafiti na
kubaini kuwa ni moja ya vyakula vinavyosaidia kuongeza
nguvu za kiume na havina madhara katika engezeko la
nguvu za kiume, katika vyakula hivyo vyenye uwezo wa
kuongeza nguvu za kiume kiasili ni:
1. TANGAWIZI
- Tangawizi ni moja ya chakula kinachoweza kurejesha
nguvu za kiume, unaweza kuichemsha tangawizi na
ukatumia kwa kuinywa kama chai Asubuhi, mchana na
jioni pia Tangawizi unaweza ukaitumia katika
mchanganyiko wa kiasili kwa kutumia habat
soda,asali,kitunguu saumu na tangawizi yenyewe. JINSI
YA KUTUMIA MCHANGANYIKO HUU: Chukua tangawizi na
kitunguu saumu vitwange kisha vichanganye na asali
pamoja na unga wa habat soda na uwe unakunywa
mchanganyiko huu kwa kutumia kijiko cha chai kimoja
kutwa mara 3 kwa muda wa wiki moja na utaona
mabadiliko.
2. TIKITI MAJI:
-Chakula kingine kinachosaidia katika upande wa
kuongeza nguvu za kiume ni tunda la Tikiti Maji, unaweza
ukachukua tikiti lako ukalikata na kutengeneza juice ya
Tikiti kisha unakunywa ila sio lazima utengeneze Juice
hata lenyewe tu unaweza ukalila. Ila jitahidi kutumia
tunda hili hata kila siku kwani linasaidia sana kwa wenye
matatizo ya nguvu za kiume.
Asante sana kipenzi changu kwa taarifa. Natumai note book yako sasa inakaribia kujaa. I like that.
Hahahaha!! Acha tu upele umempata mwenye ukucha.Christmass hii isikosekane chai ya tangawizi,loh matikiti yawepo kwa wingi sana....