Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,894
Habarini Wadau,
Leo hii kumetokea Mabadiliko katika nafasi za uongozi ambapo Bi Zamaradi Kawawa (ambaye ni mdogo wa damu wa Zainabu Kawawa aliyekuwa Mbunge wa kuteuliwa CCM) amebadilishiwa kitengo na kufanywa kuwa Kaimu Mkurugenzi idara ya habari-Maelezo.
Wakati huo huo Prof. Elisante Ole Gabriel amemteua Assah Andrew Mwambene kuwa katika wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Bila shaka wenye akili kubwa na uelewa mpana na zaidi wanaomjua Assah watajua kuwa Mkuu Magu ndio kapendekeza apelekwe huko ili akazungumze kile kiingereza chake kizuri ili kumwakilisha Rais. Assah ni mzuri sana katika speeches na hapa Mkuu ameondoa AIBU KUBWA SANA iliyokuwa ikimkabili.
ANGALIZO: Isije tu kutokea kwamba Mkuu anawakilishwa kiila mara kwenye vikao vyote,mikutano,warsha na hata tu pale anapopaswa kuelezea uzima au afya yake.
HONGERA ELISANTE OLE GABRIEL KUONDOA AIBU HII KWA MKUU.