Suluhisho la matokeo duni form 4

Mzee2000

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
527
221
Suluhisho mimi naona ni hili:

1)Sylabus nzima sekondari wafundishe kwa kiswahili.
2)Mitihani ni migumu, ifanywe rahisi kidogo kama ulaya na marekani
3)Miaka minne sekondari ni mingi sana, hasa kufanya mitihani 8 baada kusoma miaka minne- inabidi uwe na kichwa kwelikweli- hata chuo kikuu hawafanyi hivyo, kwa hiyo sekondari ifupishwe iwe miaka miwili tu.

4) Offcourse njaa nyingi bongo, chakula kitolewe bure kea wale wasiojiweza, hungry stomach= hungry brain
 
Hii ya prezidaa part 1
s1930 j. M. Kikwete secondary school
div-i = 0 div-ii = 4 div-iii = 2 div-iv = 29 fld = 52

hii ya prezidaa part 2
s2008 jakaya kikwete secondary school
div-i = 0 div-ii = 1 div-iii = 5 div-iv = 48 fld = 76

hii ya festi lady
s3561 salma kikwete secondary school
div-i = 3 div-ii = 8 div-iii = 27 div-iv = 119 fld = 150

hii ya mzee ruksa
s0740 ali hassan mwinyi isl. Sec. School
div-i = 0 div-ii = 3 div-iii = 2 div-iv = 38 fld = 67

hii ya mzee benja
s0960 benjamin william mkapa high school
div-i = 5 div-ii = 25 div-iii = 74 div-iv = 263 fld = 282

hii ya mzee msekwa
s1884 pius msekwa secondary school
div-i = 1 div-ii = 2 div-iii = 9 div-iv = 60 fld = 58

hii ya festi ladi wa awamu ya tatu
s3691 anna mkapa secondary school
div-i = 0 div-ii = 3 div-iii = 11 div-iv = 69 fld = 109

hii ya mzee yusufu
s1806 yusuf makamba secondary school
div-i = 2 div-ii = 4 div-iii = 19 div-iv = 113 fld = 314

hii ya mzee malecela
s0716 malecela secondary school
div-i = 0 div-ii = 3 div-iii = 9 div-iv = 41 fld = 47

hii ya mzee mramba
s2022 mramba day secondary school
div-i = 1 div-ii = 1 div-iii = 7 div-iv = 59 fld = 65

hii ya mzee chenge
s2990 chenge secondary school
div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 1 div-iv = 10 fld = 37

hii ya mama lowassa
s3866 regina mumba lowassa secondary school
div-i = 0 div-ii = 1 div-iii = 1 div-iv = 19 fld = 148

hii ya lougwanan
s1803 lowassa secondary school
div-i = 3 div-ii = 6 div-iii = 9 div-iv = 81 fld = 76
 
@mzee2000 kwa mtizamo wako naenda nao kinyume sana kwani ,miaka yote mbona tumesoma na wengine tukafaulu au miaka ile kulikuwa na miaka 2 ya o-level hapana miaka 4 na semista 8,umesema pia cjui tuwape msoc eti lakini ukichukulia miaka iliyopita mbna watu wamesoma ktk hali ya kutopewa chakula and hence did wonders ina mana miaka hii mitoto ndo inanjaa saaaana au?wot i can say there only thing crucial for success is self discipline thus to say ...students must do the right thing,at the right time at the right place....nawasilisha
 
Back
Top Bottom