Sultani gani aliye na shutuma za mauaji Zanzibar

Status
Not open for further replies.

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
21,796
31,809
Utangulizi

IMG-20160201-WA0152.jpg

Masultani 11 waliotawala Zanzibar 1856 - 1964

Hawa masultani 11 waliotawala Zanzibar kuanzia mwaka wa 1856 hadi 1964 kesho kiama siku ya hesabu watamkabili Mola wao mikono yao ikiwa haina damu ya mauaji wala utesaji wa ndugu zao Wazanzibari. Marehemu Aman Thani ameacha kumbukumbu muhimu ya hazina ya wakati mgumu katika historia ya Zanzibar. Aman Thani ameandika na kutoa mihadhara kadhaa akieleza hali ya wasiwasi na unyama iliyogubika Zanzibar baada ya mapinduzi ya mwaka wa 1964.

ZQgA_YUg39CHhtcCaIcIL-EVuMBl8BKJsf5vJ_nJApo8uF4JxjhZObR_g8hWFnQL_DLAq32imw6y_4UL-4_Nz66I5sWrgrIqeGiqpZ1G9jZpA-xIqnb1DWu1_m_9ivdYQq3LdYs7X04JSQ0XNSY5xnUqWu5OyfJKgpaTzFt5RW3GqS7FwJojXGUB2m09BcaFdX87vBwzdwfnbNWPqoJXownoIqbNFNCNnx-9PsNYabBIpVJ8Y9H429EioJa0sFJFqJHSDE1-lsgUNVig7JoU8Jqi-hSgDrMVyRoWvHZ_uKyvm10F8mT5B98N-uqCuUTKrBSYrH4eC4mJq7yMgk61QKJCsTBSdw79gx9A9Rj5PLFxyfexHYxnJZ7z0PKQpFpgVkPXrYCFNKxIUKbHefly4rePvFGjh5lkmlFEM_7xPwtZnke4eucQQRnZiLPIHLVb8EAEKbWcL86LjDBySHL2fVa-IfpfwGkRjJDrmiKz438b5b4Jd5fPOVF5ppWTxM7__mNvuFRXbmi5shRypRUu50oJUU_lAE1uie5quPJU0Qei-pnQdDvc3aQo9g6fXiix8ZdsFA=w1144-h643-no

Aman Thani

Itachukua muda kwa kizazi cha leo kuijua historia hii ya kusikitisha. Tuna wajibu wa kuisomesha historia hii si kwa nia ya kufukua makaburi na kutonesha makaovu bali kwa nia ya kuonyesha ubaya wa ubaguzi. Viongozi wa leo wana dhima kubwa kuhakikisha kuwa yale yaliyotokea Zanzibar nusu karne iliyopita hayajirudii tena.

Huyu Amani Thani kama vile nimeiskia Video yake (Youtube) akielezea alivyoka,atwa na kufungwa siku ya mapinduzi
leo naona kawekwa kama shujaa
hebu tuelezeni
msisahau na habari za Okello naye yuko wapi?
 
Watanzania wengi hawafahamu kwamba kuliwahi kuwa na mauaji ya kimbari(genocide + ethnic cleansing) zanzibar baada ya the so called mapinduzi.ni wachache wanaofahamu kuwa kina karume hawakuwepo kabisa zanzibar wala kuhusika kwa namna yoyote katika mapinduzi yale ingawa sasa anaadhimishwa kama shujaa wa mapinduzi.kaka Mohammed Said na wanazuoni wengine naomba msaidie kutujuza wananchi kuhusu historia sahihi ya zanzibar na kuwepo awareness kuhusu ile Genocide ya mwaka 1964.Pia tufahamu chimbuko la mgogoro uliopo sasa maana unaonekana mizizi yake ni mirefu sana.
 
Titimunda,
Binafsi najitahidi kuieleza hii historia si kwa nia ya kupandikiza chuki
ila kwa nia ya kizazi hiki kipate mafunzo ili kuepusha yale yalopita iwe
basi yasije kujirudia tena.
 
1856 enz za biashara ya kitumwa Arabs enslaved Africans et mikono haina damu rubbish post the reality is quite opposite they oppressed Africans as other white races did
Ilan Ramon,
Ikiwa unataka mjadala wa historia ya utumwa njoo na adabu zako
kamili tufanye mjadala.

Ukija na lugha za matusi hatutafika popote.
Tutawakaribisha hapa wajuzi wa matusi kukushinda wewe.
 
Kimsingi utawala wa.masultan wote Zanzibar nilikua na tabia zifuatazo..
.unyonyaji kwa Wazanzibar(ambao ni weusi wazawa).
.unyang'anyi ardhi ya Wazanzibar
.ubaguzi wa rangi
.ubinafsishaji wa biashara ya Wazanzibar
.ukatili
.ubakaji

Ivyo basi hapana sultani aliwahi kuwa msafi

Ikumbukwe kuwa masultan waliacha vizazi vyao ambao wengine mzazi mmoja niweusi, au wote waraabu ambao wale wenye asili ya kiarabu tabia hizo takes ni wamerithi mpaka leo hii..
 
Nsharighe,
Hujui unachokisema.
 
Kama ni kweli unayosema basi wafuatao wasinge kwenda Zanzibar kufata fursa na elimu
Aboud Jumbe
Okkello
Ali HAssan Mwinyi
Abeid Karume
Castico
David wakati
Sepetu
Seif Bakari
Hassan Moyo
Shaaban Mloo
Balozi Iddi
Said washoto
Kasim Hanga
Rehani kingo
Khamis nyuni
List ni kubwa hawa wote hawakuzaliwa Zanzibar ..walihamia wakiwa wakufata neema na utawala bora Znz. Wangeweza kuhamia kenya au uganda kwani zote zilikua kolono moja la uingereza lakini kayika kote znz palikua pazuri na patamu. Wakakaa na mwisho wakapata na ukubwa.
Sultan au mwarabu hajanyanganya mtu ardhi yake walonya nganya na wapinduzi wakajitwalia majumba na mashamba na kubabaisha kugawa eka tatu kwa wachache.

Tatizo lenu linakuja mlinyimwa elimu na wapinduzi . Baada ya mapinduzi ilipigwa marufuku mtu kupata elimu ya juu . Mwisho Lumumba school form Six... Miaka 9 ikapita bila kupata elimu halafu mnakuja kusema mlionewa ati oohh waraabu ndo walosomeshwa...
na nyie kwenye macho yenu mnaona mme pigwa full stop na hao wapinduzi hakuna kwenda University au College.. Kwa nchi hili ni pigo kuukuikosesha taifa wasomi kuendesha nchi
..na hasara yake ndo hio leo ccm znz imekimbiwa na wale wasomi wacchache waliopo kwani wana jitambua....na hasara nyengine ndio nyie mlobaki kuimbishwa nyimbo hixi za waraabu wakati wanao kuimbisheni wanasomesha watoto wao nje na kuchukua nafasi za kisiasa hata kwa nguvu
 
Bora ujikite kwenye historia...kuliko mambo yako ya uchonganishi na chuki
Leonard Robert,
Ingekuwa kuandika ukweli ni uchonganishi dunia isingeliandika
historia ya ''holocaust'' (1938 - 1945).

Tusingelisoma mauaji ya Amristar (1919).
Wala tusingesoma mauaji ya Sharpville (1960).

Mauaji ya Burundi (1994) na mauaji ya Bosnia (1992 - 1995).

Jitulize ondoa ghadabu na soma utakuwa mwerevu na msomi
wa kutajika.

Hasira huondoa umakini.
Jiepushe nayo.
 
Tobinho,
Usiniambie kuwa hujui kazi zangu.
Hii hapo chini ni mojawapo:

Contributing author Dictionary of African
Biography (DAB), Oxford University Press
2011, New York.
Mzee acha porojo hebu leta historia yako juu ya Zanzibar tuipime na ukileta hapa leta historia na sio hisia na udini
 
Mzee acha porojo hebu leta historia yako juu ya Zanzibar tuipime na ukileta hapa leta historia na sio hisia na udini
Hiram Abiff,
Hii nayo ni porojo?:
1. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Andika kwa heshima tutafanya mjadala.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom