Sultan Suleiman Khan - Azam Two

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,864
3,851
Kuna jambo silielewi kuhusu series ya Sultan Suleiman Khan inayorushwa na Channel ya Azam Two.

Mke wa Sultan aitwaye Hurem anafanya hila na maovu mengi lakini ndio kwanza anafanikiwa mpaka kuwa Sultana wa Harem ya Ottoman.

Swali: Kwa nn ouvu anazidi kufanikiwa zaidi ya wema? Au Series hii inatufundisha nn hasa?

Karibuni tujadili.
 
Hii series haiko kukufundisha bali kukusimulia yaliyokuwepo kipindi cha Ottoman empire
 
Mkuu tutajadili vipi movie wakati imeigizwa..lete mambo yenye uhalisia tujadili.swali lako ni gumu we endelea kufatilia mpaka mwisho
Afu hata hivo mbona wabaya wengi humu duniani ndio wanaofanikiwa.msala upo kwenye kifo.hapo ndo hapakwepeki
Afu napendekeza special thread ya hii movie muwe mnajadili huko yanayoendelea
 
Mkuu hiyo tamthiliya inatokana na kisa cha kweli kilichotokea karne ya 16 kwenye himaya ya Ottoman. Suleyman alikuwa ni mtawala wa 10 aliyeongoza kwa muda mrefu zaidi na kubadili kanuni nyingi kisha kuponzwa na penzi la kijakazi.. Hujasoma Historia?
 
Back
Top Bottom