PostGE2025 Sultan Haitham bin Tariq Al Said wa Oman Apokea Ujumbe wa Rais Samia Suluhu uliowasilishwa na Balozi Kombo

PostGE2025 Sultan Haitham bin Tariq Al Said wa Oman Apokea Ujumbe wa Rais Samia Suluhu uliowasilishwa na Balozi Kombo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
261
Reaction score
199
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Sultan Haitham bin Tariq Al Said wa Oman.

IMG-20251223-WA0034.jpg
IMG-20251223-WA0036.jpg
IMG-20251223-WA0035.jpg
 
Mnaangaika na mikopo au kuna mengine
 
Shukrani kwa wajomba. Wajomba tumeni tende na vinyama tupate nguvu ya kutetea uovu.
 
Shukrani kwa wajomba. Wajomba tumeni tende na vinyama tupate nguvu ya kutetea uovu.
 
Mnaangaika na mikopo au kuna mengine
Huyu mama yuko mbioni kuuza maliasili zetu kwa wajomba! Huyo mwenye baibui ni ndugu yake Samia ambae ndio balozi wetu huko Oman ; all the Tanzanian embassies abroad are filled with Zanzibaris!! The woman is stinking with NEPOTISM.
 
Back
Top Bottom