Suleiman Mathew nafasi yako Mtama bado ipo, usikate tamaa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,657
239,130
Ninaziona dalili kali sana za Mungu kukurudishia jimbo lako , unahitaji uvumilivu kidogo sana .

Uzuri wake ni kwamba wananchi wa Mtama ( ambako ni kwenu ) bado wanakuhitaji kuliko unavyodhani .

Jipange baada ya muda mfupi sana ndoto yako itatimia .
 
KWA KURA NGAPI ALIZONAZO MTAMA? KICHEKESHO SANA!!!
 
Ninaziona dalili kali sana za Mungu kukurudishia jimbo lako , unahitaji uvumilivu kidogo sana .

Uzuri wake ni kwamba wananchi wa Mtama ( ambako ni kwenu ) bado wanakuhitaji kuliko unavyodhani .

Jipange baada ya muda mfupi sana ndoto yako itatimia .
ajaribu 2020, kwa sasa wanamtama wanae nape the great anatosha. ampe ushirikiano kwa miaka hii 5, waijenge mtama.
 
Hii Ni kampeni!?
 
Kaka huo muda mfupi huo ni wa wiki, miezi au miaka?
 
ajaribu 2020, kwa sasa wanamtama wanae nape the great anatosha. ampe ushirikiano kwa miaka hii 5, waijenge mtama.
wizara ya habari ni kama kitanzi , kuna mawili , kuishia njiani au kufika mwisho lakini usirudi tena , muulize FENELA MUKANGARA.
 
yupo huwa anakuja mara moja moja kwenye sherehe za unyago, harusi na mahafali ya chekechea ndo kazi kubwa aliyonayo huyo ndugu Methew. pia mwambie wale washauri akina mzee Nachama nd co sio washauri wazuri wanajiitaga wazee wa Mtama.
 
unajua kura alizopata ? au umebabaika na zilizotangazwa na tume ?
si alipata kura elfu 13 na Mbunge aliyepo alipata kura elfu 28 mara mbili zaidi ya Selemani Methew au kuna zingine ambazo we unazo uziweke hapa...? pia si unajua kama huyo mgombea hakupeleka mawakala kata ya Navanga, Rondo na Namupa na badala yake akaamua kuwalipa mawakala wa Cdm na AFP waliosimamia kata za Mtama na Majengo..?
 
Mwota ndoto za mchana huyoo yumo ndotoni
Ndoto kama hiyo iliotwa na Gwajima wa ufufuo na uzima lakini tumeshuhudia akimkana lowasa kama yuda alivyomkana yesu
 
yupo huwa anakuja mara moja moja kwenye sherehe za unyago, harusi na mahafali ya chekechea ndo kazi kubwa aliyonayo huyo ndugu Methew. pia mwambie wale washauri akina mzee Nachama nd co sio washauri wazuri wanajiitaga wazee wa Mtama.
afadhali anayetembelea kwao kuliko anayesubiri uchaguzi , mkiendelea kudharau wazee msilalamike mkikumbwa na laana .
 
si alipata kura elfu 13 na Mbunge aliyepo alipata kura elfu 28 mara mbili zaidi ya Selemani Methew au kuna zingine ambazo we unazo uziweke hapa...? pia si unajua kama huyo mgombea hakupeleka mawakala kata ya Navanga, Rondo na Namupa na badala yake akaamua kuwalipa mawakala wa Cdm na AFP waliosimamia kata za Mtama na Majengo..?
hizo ndio zilizotangazwa na msimamizi.
 
Mwota ndoto za mchana huyoo yumo ndotoni
Ndoto kama hiyo iliotwa na Gwajima wa ufufuo na uzima lakini tumeshuhudia akimkana lowasa kama yuda alivyomkana yesu
unakikumbuka kilichomkuta Pdg Juma Kapuya ? usitukane wakunga ukiwa umebeba mimba ya miezi 8
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom