Sukuma twende ya Makonda ni biashara au uwajibikaji?

Sukuma twende ya Makonda ni biashara au uwajibikaji?

Danken Mbombo

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
651
Reaction score
339
Kampeni ya 'sukuma twende' iliyobuniwa na mh Makonda akishirikiana na kampuni ya Push Mobile; wananchi watatuma ujumbe mfupi kwenda namba 15404 kutoa taarifa kuhusu huduma mbaya za watumishi wa umma. Mh Makonda atuweke wazi kama tutakuwa tunalipia au ni bure? Kama tutalipia basi inawezekana hii ni biashara na si uwajibikaji.
mtima-kipeperushi.jpg
 
huu wozo na wizi sijui utaisha lini, kwann asiweke sanduku la maoni tu
 
Kamata fursa twenzetu. Matatizo yako yanaonekana waziwazi hata kipofu ananusa harufu mbaya meseji za nini
 
hii ni biashara ndani ya ofisi ya umma.

kama angekuwa na nia njema angeweka namba ya simu ya kawaida na sio hii code inayomlazimisha mtumaji akatwe pesa zaidi on demand.
 
Hakuna kitu hapo, kwanini asingeanzisha alipoteuliwa:what: ni usanii tu ili magufuli amuone ni mchapakazi..!!
 
Hapo anafanya 2 in 1 yani anapiga pesa huku kajificha kwenye chaka la uwajibikaji (zaidi analenga kama Magufuli akipitisha fagio la wakuu wa wilaya basi lisimkumbe)
 
Hapo anafanya 2 in 1 yani anapiga pesa huku kajificha kwenye chaka la uwajibikaji (zaidi analenga kama Magufuli akipitisha fagio la wakuu wa wilaya basi lisimkumbe)
Nyumbu mnachekesha. Hivi yale makapu ya michango ya watu wanaohudhuria mikutano ya cdm aliyokuwa anakusanya mbowe yaliishia wapi?
 
Huo ni wizi wa mchana kweupe.kwanini asiweke hotline?na serikali ndo ilipe service provider!Wizi mtupu
 
Anautafuta ubunge kwa kasi ya ajabu ili 2020 apewe jimbo haha makonda msanii sana
 
Nyumbu mnachekesha. Hivi yale makapu ya michango ya watu wanaohudhuria mikutano ya cdm aliyokuwa anakusanya mbowe yaliishia wapi?
Mbona unipingi kwa hoja ila waniita jina la ajabu na unaongelea vitu vilivyonje ya mada??
 
Usanii mtupu, pale hospitali ya Mwananyamala alianzisha desk la wagonjwa kutolea malalamiko atupe mrejesho, alipoteuliwa tu akatenga siku ya Ijumaa kuwa siku ya kusikiliza malalamiko amefikia wapi,

ndio maana nasema huyu jamaa ni msanii tu hana lolote ni attention seeker usikute hili ni dili lake.
 
Nyumbu mnachekesha. Hivi yale makapu ya michango ya watu wanaohudhuria mikutano ya cdm aliyokuwa anakusanya mbowe yaliishia wapi?

Usikute kishaongeza nyumba Dubai na London au kasari la Bi Joisi.

Nyumbu waendeleze tu michango.
 
Nyumbu mnachekesha. Hivi yale makapu ya michango ya watu wanaohudhuria mikutano ya cdm aliyokuwa anakusanya mbowe yaliishia wapi?
Kwa hiyo na yeye anatumia ofisi ya umma kuchangisha ki-design ili asijulikane, hatari.
 
Nyumbu mnachekesha. Hivi yale makapu ya michango ya watu wanaohudhuria mikutano ya cdm aliyokuwa anakusanya mbowe yaliishia wapi?

Kweny kampen na watu waliotoa ile michango uwezo wa kutoa walikua nao!! Ila hii ya Makonda kumwambia mwananchi wa hali ya chini ( koz ni mwananchi wa hali ya chini mweny matatzo ndo analegwa hapa). atume meseji c kila mtu ana cm plus hzo namba hapo zina gharama yake ni tofauti na namba za simu za kawaida!!! Angenunua line mpya ya tgo watu watume hapo!!!! Nimesema tgo koz sometimes hua wanatoa sms buuureeee kabisa...mtu anashida anunue vocha ya 500 na iishie hapo its like analipia kuiambia serikali matatizo yake!!!!! N there is no better way ya kujua shida ya wananchi wako kama kusikiliza wenyw,,, hyo namba anaweza pewa taarifa ya uongo au hata matusi,,,kama awatembelee tu c wilaya ya kinondoni ndani ya mwez atajua yote!!! Na haiwezekan akawa hajui shida zao kama mkuu wa wilaya alikua wapi???
 
Mbona unipingi kwa hoja ila waniita jina la ajabu na unaongelea vitu vilivyonje ya mada??
Wewe uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo. Hakuna kitu cha bure, ndiyo maana hata mbowe aliuza chama na bado mnamshabikia
 
Anatafuta attention tu hana lolote. Kuna vitu vingi vinaonekana vina shida anashindwa kuvitatua leo anasubiria kero zakutoka ndani ya simu.na hizo sms atasoma ngapi. Yaani huyu kijana sijui walimtoa wapi huyu
 
Anajifanya nabii Joshua kutatua matatizo kwa maombi kwenye simu.
 
Back
Top Bottom