concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
- Thread starter
- #21
Nawe unaemuombea ahamie karibia na mzee magu sukuma ndanAnakoelekea siko..ahamishiwe Dodoma
Nawe unaemuombea ahamie karibia na mzee magu sukuma ndanAnakoelekea siko..ahamishiwe Dodoma
Wote wanaoshiriki kuodhesha mabinti wadogo wanaostahili kuwa shule 'Kwa aliyehelewa alichokua anamaanisha. Msaada tafadhari maana nimeshindwa kujua alikua na maana gani
Wote wanaoshiriki kuodhesha mabinti wadogo wanaostahili kuwa shule '
watachukuliwa hatua za kisheri,
hiyo sukuma ndani ni kuwakamata na kupeleka polisi,
Kiufupi yuko kwenye kampeni ya kuhimiza wazazi wapeleke watoto shule,
hataki kusikia hadhithi za kale kuwa mtoto kakataa shule,
yoyote atakae husika ata sukumwa ndani au kufyekelewa mbali hahahahaha!
Haaaaahaaaaahhh!!!Mroto kapata mrithi