concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Sweka ndani Fyeka!! Fyekelea mbali!!!
Alfa holela, ensopo sukuuuuuuma ndan[emoji23][emoji23] we sukumaa tuu
Hats wale waliopita wakasikia harufu ya ubwabwa sukuma ndaniSukuma ndani hata wale kina mama wanaosema ile chikich chikichhh eeeh Sukuma ndaaaaani... et hata sisi waalikwa wa ubwabwa ahahahah
Ndoa za utotoni. Yaani wahusika wote sweka ndani. Na wale mliokuwa mnapita mkapata kijiharufu cha ubwabwa sukuuuuuma ndaanKwa aliyehelewa alichokua anamaanisha. Msaada tafadhari maana nimeshindwa kujua alikua na maana gani
Hats wale ambao waliokunywa mataputapu na hawakulewa sukuuuma ndanAgrey Mwanri amekunywa mataptapu
We sukuma ndaan watacheka wakiwa wamesukumwa ndaniAhahahahahahahahanananananan
Agrey Mwanri amekunywa mataptapu
Hata na huyu sukuma ndaanUmemnywesha??
We sukuma ndani! Na nyie mnaouliza uliza tuta sukuma ndani!Kwa aliyehelewa alichokua anamaanisha. Msaada tafadhari maana nimeshindwa kujua alikua na maana gani
Sukuma ndan wataelewa wakiwa wamesukumwa ndanWe sukuma ndani! Na nyie mnaouliza uliza tuta sukuma ndani!