sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 925
- 3,535
Wadau,
Bei ya sukari kwenye duka la Game Mlimani City ni sh 1800 kwa mfuko wa kilo moja.
Ila mtu mmoja anauziwa mwisho mifuko mitano baada ya kubaini watu wanaenda kuiuza nje kwa bei mara tatu.
Nimebaki nashangaa awa wamewezaje kuuza kwa bei elekezi kwa kipindi hiki.