Sukari ya magendo yakamatwa ghala la Mbolea Makambako- Mbunge na vigogo wa CCM wahusishwa

Masikini watanzania sisi tukimbilie wapi?
- Sukari inafichwa na vigogo
- mafuta yanachakachuliwa na vigogo,
- pesa za miradi ya maendeleo zinaliwa na vigogo,
- pembejeo za pamba zinachakachuliwa na vigogo,
- mbolea ya ruzuku inachakachuliwa na vigogo
- biashara ya madawa ya kulevya inafanywa na vigogo
- daladala za dsm Sumatra inashindwa kuzikamata sababu ni za vigogo
- pesa za kununulia mafuta ya mitambo IPTL zinachakachuliwa na vigogo,
endelezeni jamani wana JF, mi niko taabani sijala tangu asubuhi, sina kitu mfukoni
 
Back
Top Bottom