Sukari Tsh 4000 watu kimyaaa

nilinunua kilo 30 mwezi Jana..sijafeel hiyo bei...poleni mjifunze kununua kununua kwa wingi
 

Acha uzezeta wewe,sukari ilikua 1800/- baada ya Rais kuingilia soko ndio imepanda. Mnachoweza nyie ni kupiga kelele na ubaguzi tu.
 
Hizo 5600- 6000 ni Ksh au Tsh?
 
Mimi nimenunua jana 2600 huku Yombo Vituka, baadhi ya maduka wanauza 2800
 
sio kweli ndio maana kuna tume ya ushindani,hii ndio kazi yake hiyo,hakuna bei holela,soko ndio linapanga bei lkn msimamizi anaangali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
so we are living with reference to Kenya? acha kuwa na akili finyu mzee
 
Mm nausubiri ifike 10,000 ndiyo nitaongea
 
Ni miezi miwili sasa bei ya sukari haikamatiki lakini watu kimyaa huku serikali iko bize kukamata wachochezi inasahau mfumko wa bei ni mchochezi hatari zaidi ya kina Lissu ,maisha yanazidi kuwa magumu mtaani.
Sie tunasubiria maandamano ya kumpongeza Bwn Mkubwa. Mwenye ratiba aiweke nijiandae!
 
Wewe ni mujinga sugu umezoea kudanganya wapumbavu wenzio wa lumumba ksh 5600 unajua thamani yake au unaropoka tu,ficha ujinga wako sio kila kitu kujifanya unajua ksh 5600 ni zaidi ya laki moja ya tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani Kakwambia Kenya shillings Tena Usifikiri Mimi Mbumbu Kama wewe! Nina Concept za Money Markets kuliko Unavyofikiri Just Soma Vizuri nilishopost na Siyo Kuongeza Maneno ambayo sijayaandika.
 
Ila kipindi kile waliposema bei elekezi ya sukari ni 1800!!walikuwa na la kufanya ila wakashindwa?? Hakuna kitu amabachi serikali inaweza shindwa japo kwa kupunguza makali ya bei kama ikiamua!! Kuna sehemu nyingi tu za kurekebisha kidogo hasa kwenye mambo ya kodi na mwanachi akapata nafuu.
 
Unaweza kutuambia kwa nini kukitokea njaa nchini serikali huagiza chakula nje ya nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…