upo pande gani ya jamhuri hii?Ni miezi miwili sasa bei ya sukari haikamatiki lakini watu kimyaa......huku serikali iko bize kukamata wachochezi inasahau mfumko wa bei ni mchochezi hatari zaidi ya kina lisssu ,maisha yanazidi kuwa magumu mtaani......
Mkuu kenya 5600 ngoja n8 calculete hapa nione kenya wananunua kilo ya sukari kwa laki ngapiSukari ni Tatizo Afrika Mashabiki nzima Kenya Wananunua kwa Sh. 5,600-6,000/Kg tuna bahati sana kuipata kwa sh. 4,000 siyo Suala la Kuanza kuilalamikia serikali Supply ni ndogo na Tanzania Tumeimarisha Bandari na Mipaka Smuggled Sugar haingii tena.
Kuna Vitu vingine hata vikipanda serikali haina cha Kufanya zaidi ya Ku Encourage watu waanzishe Viwanda vipya vyenye Capacity ya Kulisha Tanzania nzima.
Mpuuz mkubwa wwSukari ni Tatizo Afrika Mashabiki nzima Kenya Wananunua kwa Sh. 5,600-6,000/Kg tuna bahati sana kuipata kwa sh. 4,000 siyo Suala la Kuanza kuilalamikia serikali Supply ni ndogo na Tanzania Tumeimarisha Bandari na Mipaka Smuggled Sugar haingii tena.
Kuna Vitu vingine hata vikipanda serikali haina cha Kufanya zaidi ya Ku Encourage watu waanzishe Viwanda vipya vyenye Capacity ya Kulisha Tanzania nzima.
Lakini bado mtikisiko utakaousikia ukiwa kwenye hilo lori utakuonyesha tu kwamba huko tuendako sio salamaMkuu ukiwa ndani ya lori (box board) huwezi kuona nje! Labda tunaelekea korongoni sasa kama sio kuporomokea kreta ya Ngorongoro!!
Wewe ni mujinga sugu umezoea kudanganya wapumbavu wenzio wa lumumba ksh 5600 unajua thamani yake au unaropoka tu,ficha ujinga wako sio kila kitu kujifanya unajua ksh 5600 ni zaidi ya laki moja ya tanzania.Sukari ni Tatizo Afrika Mashabiki nzima Kenya Wananunua kwa Sh. 5,600-6,000/Kg tuna bahati sana kuipata kwa sh. 4,000 siyo Suala la Kuanza kuilalamikia serikali Supply ni ndogo na Tanzania Tumeimarisha Bandari na Mipaka Smuggled Sugar haingii tena.
Kuna Vitu vingine hata vikipanda serikali haina cha Kufanya zaidi ya Ku Encourage watu waanzishe Viwanda vipya vyenye Capacity ya Kulisha Tanzania nzima.
Jana nimenunua sukari kg sh 2500usemayo ni kweli majuzi nimenunua 3600
Wataisoma namba hao Chadema, wao si ndio wanakunywa chai na vitu vya sukari? Sisi ccm tunaoishi kama mashetani (according to mwenyekiti wetu) tumezoea uji wa chumvi hivyo tunayo furaha isiyo kifani wao nao kushindwa kununua sukari!
Sizonje hoyyeee
D.Uc. juuu juuu juuu zaidi. Tumeamini kweli yeye ni kiongozi wetu sisi wanyonge kwa juhudi zake za kuhakikisha maisha ya Watanzania wote yanavurugika na kuishi kimaskini kama sisi tuliokuwa masikini kwa zaidi ya miaka 50, hii inaitwa ngoma draw au bampa to bampa
Sukari ni Tatizo Afrika Mashabiki nzima Kenya Wananunua kwa Sh. 5,600-6,000/Kg tuna bahati sana kuipata kwa sh. 4,000 siyo Suala la Kuanza kuilalamikia serikali Supply ni ndogo na Tanzania Tumeimarisha Bandari na Mipaka Smuggled Sugar haingii tena.
Kuna Vitu vingine hata vikipanda serikali haina cha Kufanya zaidi ya Ku Encourage watu waanzishe Viwanda vipya vyenye Capacity ya Kulisha Tanzania nzima.
Hilo litajulikana pale unapogusa paji la uso kujua umajimaji unaotiririka kwenye paji la uso ni jasho au damu!!Lakini bado mtikisiko utakaousikia ukiwa kwenye hilo lori utakuonyesha tu kwamba huko tuendako sio salama
Comrade Majighu2015Kwa upande wangu naona kama nchi imesimama vile..Vitu haviendi kila kona,vitu vinapanda bei kila kukicha,shilingi yetu inazidi kupoteza thamani kila siku,deni la taifa linaongezeka. Honestly,sijui tunaelekea wapi. Halafu watu wanapiga siasa uchwara eti aongezewe muda wa kutawala. Hatuko serious kabisa
Cc Princess rubiiComrade Majighu2015
Nikuibie siri moja ya maisha kwa namna Tanzania inavyoendelea kupoteza thaman ya Fedha yake
....nimeanza kuweka % ya mapato yangu kwa kibubu cha Dollar kwa benki kila mwezi kuanzia July hii 2017.
Inshallah Mungu akitupa uzima hadi 2040 nitaenda kudroo na kuanza kula pesheni yangu ya kustaaf taratibuuuu nikiwa na My Wife . Hiyo ni miaka 23 kutoka sasa
Wakati huo Dollar inaweza kuwa 2700 na kuendelea
Nchi hii bila kujiongeza, Wanasiasa wataendelea kunufaika na sisi
Chief Economist
Rubbish, ilikuwa 1800 Tsh kabla ya wehu ulioufanya wewe hapo TrollSukari ni Tatizo Afrika Mashabiki nzima Kenya Wananunua kwa Sh. 5,600-6,000/Kg tuna bahati sana kuipata kwa sh. 4,000 siyo Suala la Kuanza kuilalamikia serikali Supply ni ndogo na Tanzania Tumeimarisha Bandari na Mipaka Smuggled Sugar haingii tena.
Kuna Vitu vingine hata vikipanda serikali haina cha Kufanya zaidi ya Ku Encourage watu waanzishe Viwanda vipya vyenye Capacity ya Kulisha Tanzania nzima.