5500 UGXKenya n 160ksh 1kg
Uhuru na huyu bwana
Mskuma n kama wanashera
Viwanda
Sasa cjui babu museven
Yy kwake ikoje
Kweli mkuu jana nimemaindi sana nimeenda duka fulani tunduma nimempa 10000/= nikitarajinapewa kilo nne nilizozoea nakuta kilo mbiliNipo mbeya, songwe. Huwezi amini juzi nimenunua sukari ya MO 1kg kwa shiling 3500/=
Kuna baadhi ya mikoa ni zaidi ya 4000/=.tuombe Mungu awape roho za kibinadamu viongozi wetu wa CCM watatuu hawaMkuu pole sana aise...mimi nalia hapa kilo 3000 kumbe wengine mnaumia zaidi!!
Yaani ni hatari mkuu...Mkuu pole sana aise...mimi nalia hapa kilo 3000 kumbe wengine mnaumia zaidi!!