Sugu: Wakatoliki na vijora wapi na wapi? Yaani hakuna hata shati moja la UWAKA wala kitenge cha WAWATA?

Sugu: Wakatoliki na vijora wapi na wapi? Yaani hakuna hata shati moja la UWAKA wala kitenge cha WAWATA?

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Wakatoliki na VIJORA wapi na wapi?! Yaani hakuna hata shati moja la UWAKA wala kitenge cha WAWATA?!

Sasa ngoja WAKATOLIKI wenyewe watoke wakiongozwa na MAPADRI na MAASKOFU kama walivyoandamana DRC mpaka Kabila akachemka.

NB: Hawa wote MALOFA pamoja na waliowatuma,matako yenu😎
1767699386991.png
 
Hawa wapuuzi wanafikiri Wawata wanavaa vijora na madera ya kuchezea vigodoro kama wao. Mbaya zaidi hakuna Mkatoliki wa kuandamana kwa sababu za kitoto kama hizo.
 
Siku mafaza waktoka na waumini wao ujue ni nchi nzma ktawaka mpk vijijin uko ndani ndani patachmbika hasa..na uwenda ndo utakuwa mwsho wa serikali hii ila usishangae wakaibuka wakata vichwa bakwata nao kutaka kuandamana sku iyoiyo..ila tu ku disturb maandamano hayo.
Hiyo siku yaja, ngoja sarakasi za tume zipite, wakijichanganya wanalo
 
Back
Top Bottom