Sugu vs J on Radio One

Endangered

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
922
228
Wadau nimefungulia Radio One kwa bahati mbaya,
nimekuta mpambano wa Bonge Flavour, Mh Sugu na Prof jay.

Aisee, Old Skool nimekumbukia, sasa Sugu anasaema amekaa muda mrefu, yuko na Jide.

Nawasilisha.
 
sugu mkongwe, prof j mkali.. sa inategemea wanashindanishwa kwenye nin..

Wala hata sio bling bling, zimepigwa nondo zao kadhaa, lakini Jay akashinda. nlishani Sugu ataibuka kidedea. watu wakaulizwa Hapo Vipi -wakaona sawa tu - kila kitu kikawa ndiyo mzee.

Lakini still Sugu yuko makini na fani (siasa inclusive)
 
Back
Top Bottom