tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,039
Gwajima na Polepole wamesamehewa,Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameeleza kuridhishwa na kile alichokiita mchango wa viongozi wa zamani na wa sasa katika kutetea haki na masilahi ya Watanzania.
Sugu ameyasema hayo siku ya Jumatano akizungumza na wanahabari moja kwa moja kupitia televisheni mtandao ambapo amesisitiza kuwa ni wakati muafaka kwa Watanzania wa makundi mbalimbali kama vile wastaafu, vijana, wanawake, na wafanyakazi kuungana na kutoa maoni yao kwa ajili ya amani na maendeleo ya taifa.
Soma pia: Polepole: Nilishajiapiza baba yangu mzee Polepole ndiye Mtu wa mwisho kuonewa katika nchi hii
“Nichukue fursa hii kutambua kwa kazi kubwa ya Bishop Josephat Gwajima na Balozi Humphrey Polepole... hata kama kuna rekodi za kauli au matendo yao ya huko nyuma ambavyo hatukubaliani navyo, lakini wametubu, wanazungumza kwa niaba ya nchi, basi tunawasamehe kwa sasa ili tuunganishe sauti hizi za Watanzania wote katika kuhakikisha nchi hii inakaa sawa”, amesema Sugu.
Wakati huo cdm wakilia dhidi ya kina Polepole, ww uliwahi kujitokeza kuwalaani?Ccm ikitema uchafu ndugu zangu wanaokota. polepole aliongoza mbinu chafu ya kufunga mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka 6 leo hii Chadema wanamuona Polepole wa maana kwao.
Gwajima alishindwa kiuongozi kwa kila namna akiwa mbunge wa kawe leo hii Gwajima ameonekan wa maana Kwa chadema.huu ni mwaka wa mwisho kwao.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameeleza kuridhishwa na kile alichokiita mchango wa viongozi wa zamani na wa sasa katika kutetea haki na masilahi ya Watanzania.
Sugu ameyasema hayo siku ya Jumatano akizungumza na wanahabari moja kwa moja kupitia televisheni mtandao ambapo amesisitiza kuwa ni wakati muafaka kwa Watanzania wa makundi mbalimbali kama vile wastaafu, vijana, wanawake, na wafanyakazi kuungana na kutoa maoni yao kwa ajili ya amani na maendeleo ya taifa.
Soma pia: Polepole: Nilishajiapiza baba yangu mzee Polepole ndiye Mtu wa mwisho kuonewa katika nchi hii
“Nichukue fursa hii kutambua kwa kazi kubwa ya Bishop Josephat Gwajima na Balozi Humphrey Polepole... hata kama kuna rekodi za kauli au matendo yao ya huko nyuma ambavyo hatukubaliani navyo, lakini wametubu, wanazungumza kwa niaba ya nchi, basi tunawasamehe kwa sasa ili tuunganishe sauti hizi za Watanzania wote katika kuhakikisha nchi hii inakaa sawa”, amesema Sugu.
HATUFANYO CHOCHOTE KWA KUAMRISHWA NA POLEPOLE YAANI TUANENDEELEA NA MCHAKATO WA UCHAGUZI HAYO MANENO ANAYOTAKA KUYASEMA ASEME TU MANENO MATUPU HAYAWEZO KUTUVURUGA HATA SEKNDE MOJA YAANI ANAJISUMBUA TU MANGAPI YASHASEMWA NA HAYAJATUHARIBIA KITU HATA ASEMA TUNA KULA WATU BADO SIY NENO GUMU KWETU ASITAFUTE KUTISHA WATU HALAFU AJE AJISIFU KUWA MWAKA FULANI NILIZUIA UCHAGUZI MIMI PUMBAFU HUYO SLOWSLOWMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameeleza kuridhishwa na kile alichokiita mchango wa viongozi wa zamani na wa sasa katika kutetea haki na masilahi ya Watanzania.
Sugu ameyasema hayo siku ya Jumatano akizungumza na wanahabari moja kwa moja kupitia televisheni mtandao ambapo amesisitiza kuwa ni wakati muafaka kwa Watanzania wa makundi mbalimbali kama vile wastaafu, vijana, wanawake, na wafanyakazi kuungana na kutoa maoni yao kwa ajili ya amani na maendeleo ya taifa.
Soma pia: Polepole: Nilishajiapiza baba yangu mzee Polepole ndiye Mtu wa mwisho kuonewa katika nchi hii
“Nichukue fursa hii kutambua kwa kazi kubwa ya Bishop Josephat Gwajima na Balozi Humphrey Polepole... hata kama kuna rekodi za kauli au matendo yao ya huko nyuma ambavyo hatukubaliani navyo, lakini wametubu, wanazungumza kwa niaba ya nchi, basi tunawasamehe kwa sasa ili tuunganishe sauti hizi za Watanzania wote katika kuhakikisha nchi hii inakaa sawa”, amesema Sugu.
nyıe mungu, au mnajıfanya waungu watu kuwa watu wakıwa na dhambı wanakuja kuomba msamaha kwenu, bınadamu bwana. etı tuwasamehee fulan, toa kwanzwa borıt lıloko jıchonı kwako kabla ya kuona la mwenzako, mwenye kuhukumu hapa dunıan nı mungu tuu na anaweza kuotoa msamaha nı mungu na sı Sugu
Kwa hiyo uchafu wa kina Mwigamba,Kitila,Wabunge haramu 19 ambayo CHADEMA iliwatema kwenu ni asali au siyoCcm ikitema uchafu ndugu zangu wanaokota. polepole aliongoza mbinu chafu ya kufunga mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka 6 leo hii Chadema wanamuona Polepole wa maana kwao.
Gwajima alishindwa kiuongozi kwa kila namna akiwa mbunge wa kawe leo hii Gwajima ameonekan wa maana Kwa chadema.huu ni mwaka wa mwisho kwao.
HATUFANYO CHOCHOTE KWA KUAMRISHWA NA POLEPOLE YAANI TUANENDEELEA NA MCHAKATO WA UCHAGUZI HAYO MANENO ANAYOTAKA KUYASEMA ASEME TU MANENO MATUPU HAYAWEZO KUTUVURUGA HATA SEKNDE MOJA YAANI ANAJISUMBUA TU MANGAPI YASHASEMWA NA HAYAJATUHARIBIA KITU HATA ASEMA TUNA KULA WATU BADO SIY NENO GUMU KWETU ASITAFUTE KUTISHA WATU HALAFU AJE AJISIFU KUWA MWAKA FULANI NILIZUIA UCHAGUZI MIMI PUMBAFU HUYO SLOWSLOW
Kumbe na wewe imehamia CHAUMA? Mtaumia sanaHao watu ni WA kuwahurumia. Elimu ni tatizo. Hapo ni kihoro mnofu unaweza kuwa na wengine. Uroho na recognition yaani u star vinawala sana.
Huyo halijui alitendalo.
Aluta continua!

Hao wote ni Watanzania.Ccm ikitema uchafu ndugu zangu wanaokota. polepole aliongoza mbinu chafu ya kufunga mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka 6 leo hii Chadema wanamuona Polepole wa maana kwao.
Gwajima alishindwa kiuongozi kwa kila namna akiwa mbunge wa kawe leo hii Gwajima ameonekan wa maana Kwa chadema.huu ni mwaka wa mwisho kwao.
Vipi kuhusu hoja zao?Ccm ikitema uchafu ndugu zangu wanaokota. polepole aliongoza mbinu chafu ya kufunga mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka 6 leo hii Chadema wanamuona Polepole wa maana kwao.
Gwajima alishindwa kiuongozi kwa kila namna akiwa mbunge wa kawe leo hii Gwajima ameonekan wa maana Kwa chadema.huu ni mwaka wa mwisho kwao.
HATUFANYO CHOCHOTE KWA KUAMRISHWA NA POLEPOLE YAANI TUANENDEELEA NA MCHAKATO WA UCHAGUZI HAYO MANENO ANAYOTAKA KUYASEMA ASEME TU MANENO MATUPU HAYAWEZO KUTUVURUGA HATA SEKNDE MOJA YAANI ANAJISUMBUA TU MANGAPI YASHASEMWA NA HAYAJATUHARIBIA KITU HATA ASEMA TUNA KULA WATU BADO SIY NENO GUMU KWETU ASITAFUTE KUTISHA WATU HALAFU AJE AJISIFU KUWA MWAKA FULANI NILIZUIA UCHAGUZI MIMI PUMBAFU HUYO SLOWSLOW
wewe nı mungu unahukumu na kusamehe?Kumbe na wewe imehamia CHAUMA? Mtaumia sana
Sisi tutamuunga mkono mtu yoyote atayekuwa kinyume na serikali ya CCM,hata Samia akigeuka Leo tutamsamehe.
Nyie endeleeni kuunga mkono CCM.