GE2025 Sugu: Tumewasamehe Polepole na Gwajima

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameeleza kuridhishwa na kile alichokiita mchango wa viongozi wa zamani na wa sasa katika kutetea haki na masilahi ya Watanzania.

Sugu ameyasema hayo siku ya Jumatano akizungumza na wanahabari moja kwa moja kupitia televisheni mtandao ambapo amesisitiza kuwa ni wakati muafaka kwa Watanzania wa makundi mbalimbali kama vile wastaafu, vijana, wanawake, na wafanyakazi kuungana na kutoa maoni yao kwa ajili ya amani na maendeleo ya taifa.

Soma pia: Polepole: Nilishajiapiza baba yangu mzee Polepole ndiye Mtu wa mwisho kuonewa katika nchi hii

“Nichukue fursa hii kutambua kwa kazi kubwa ya Bishop Josephat Gwajima na Balozi Humphrey Polepole... hata kama kuna rekodi za kauli au matendo yao ya huko nyuma ambavyo hatukubaliani navyo, lakini wametubu, wanazungumza kwa niaba ya nchi, basi tunawasamehe kwa sasa ili tuunganishe sauti hizi za Watanzania wote katika kuhakikisha nchi hii inakaa sawa”, amesema Sugu.
 
Gwajima na Polepole wamesamehewa,

Ila wasaliti ndani ya chama kina jasusi uchwara, unahitaji moyo mpana.
 
Ccm ikitema uchafu ndugu zangu wanaokota. polepole aliongoza mbinu chafu ya kufunga mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka 6 leo hii Chadema wanamuona Polepole wa maana kwao.
Gwajima alishindwa kiuongozi kwa kila namna akiwa mbunge wa kawe leo hii Gwajima ameonekan wa maana Kwa chadema.huu ni mwaka wa mwisho kwao.
Wakati huo cdm wakilia dhidi ya kina Polepole, ww uliwahi kujitokeza kuwalaani?
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameeleza kuridhishwa na kile alichokiita mchango wa viongozi wa zamani na wa sasa katika kutetea haki na masilahi ya Watanzania.

Sugu ameyasema hayo siku ya Jumatano akizungumza na wanahabari moja kwa moja kupitia televisheni mtandao ambapo amesisitiza kuwa ni wakati muafaka kwa Watanzania wa makundi mbalimbali kama vile wastaafu, vijana, wanawake, na wafanyakazi kuungana na kutoa maoni yao kwa ajili ya amani na maendeleo ya taifa.

Soma pia: Polepole: Nilishajiapiza baba yangu mzee Polepole ndiye Mtu wa mwisho kuonewa katika nchi hii

“Nichukue fursa hii kutambua kwa kazi kubwa ya Bishop Josephat Gwajima na Balozi Humphrey Polepole... hata kama kuna rekodi za kauli au matendo yao ya huko nyuma ambavyo hatukubaliani navyo, lakini wametubu, wanazungumza kwa niaba ya nchi, basi tunawasamehe kwa sasa ili tuunganishe sauti hizi za Watanzania wote katika kuhakikisha nchi hii inakaa sawa”, amesema Sugu.

Hawa ndugu hawawezi kunyamaza?

Huo ubavu wa kuwasamehe hao, wanaupata wapi?

Gg2yVnxWMAAzCYT.jpg

Kwamba wao ndiyo role model? Looh!

Kwanini tusiendelee na agenda iliyopo badala ya kutaka kujitafutia u staa?

Lema alituharibia wadau kwenye mhadhara wa jana na Polepole

Yale yale ....!
 
nyıe mungu, au mnajıfanya waungu watu kuwa watu wakıwa na dhambı wanakuja kuomba msamaha kwenu, bınadamu bwana. etı tuwasamehee fulan, toa kwanzwa borıt lıloko jıchonı kwako kabla ya kuona la mwenzako, mwenye kuhukumu hapa dunıan nı mungu tuu na anaweza kuotoa msamaha nı mungu na sı Sugu
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameeleza kuridhishwa na kile alichokiita mchango wa viongozi wa zamani na wa sasa katika kutetea haki na masilahi ya Watanzania.

Sugu ameyasema hayo siku ya Jumatano akizungumza na wanahabari moja kwa moja kupitia televisheni mtandao ambapo amesisitiza kuwa ni wakati muafaka kwa Watanzania wa makundi mbalimbali kama vile wastaafu, vijana, wanawake, na wafanyakazi kuungana na kutoa maoni yao kwa ajili ya amani na maendeleo ya taifa.

Soma pia: Polepole: Nilishajiapiza baba yangu mzee Polepole ndiye Mtu wa mwisho kuonewa katika nchi hii

“Nichukue fursa hii kutambua kwa kazi kubwa ya Bishop Josephat Gwajima na Balozi Humphrey Polepole... hata kama kuna rekodi za kauli au matendo yao ya huko nyuma ambavyo hatukubaliani navyo, lakini wametubu, wanazungumza kwa niaba ya nchi, basi tunawasamehe kwa sasa ili tuunganishe sauti hizi za Watanzania wote katika kuhakikisha nchi hii inakaa sawa”, amesema Sugu.
HATUFANYO CHOCHOTE KWA KUAMRISHWA NA POLEPOLE YAANI TUANENDEELEA NA MCHAKATO WA UCHAGUZI HAYO MANENO ANAYOTAKA KUYASEMA ASEME TU MANENO MATUPU HAYAWEZO KUTUVURUGA HATA SEKNDE MOJA YAANI ANAJISUMBUA TU MANGAPI YASHASEMWA NA HAYAJATUHARIBIA KITU HATA ASEMA TUNA KULA WATU BADO SIY NENO GUMU KWETU ASITAFUTE KUTISHA WATU HALAFU AJE AJISIFU KUWA MWAKA FULANI NILIZUIA UCHAGUZI MIMI PUMBAFU HUYO SLOWSLOW
 
nyıe mungu, au mnajıfanya waungu watu kuwa watu wakıwa na dhambı wanakuja kuomba msamaha kwenu, bınadamu bwana. etı tuwasamehee fulan, toa kwanzwa borıt lıloko jıchonı kwako kabla ya kuona la mwenzako, mwenye kuhukumu hapa dunıan nı mungu tuu na anaweza kuotoa msamaha nı mungu na sı Sugu

Hao watu ni wa kuwahurumia. Elimu ni tatizo. Hapo ni kihoro mnofu unaweza kuwa na wengine. Uroho na recognition yaani u star vinawala sana.

Huyo halijui alitendalo.

Aluta continua!
 
Walikosea wakati ule sawa, hawakusema chochote wakati ule sawa. Wanasema Sasa. Wewe na majizi mengine yaliyoko huko mnaendelea na unyama wenu, mko kimyw, mnaogelea kwenye damu za watu wasio na hatia. Nyie na wahuni wengine hamuwezi kujilinganisha na Gwajima, Pole pole.

Wao wanataka mwanga nyie wachawi mmezama gizani, na mtafia humo na laana !
 
Ccm ikitema uchafu ndugu zangu wanaokota. polepole aliongoza mbinu chafu ya kufunga mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka 6 leo hii Chadema wanamuona Polepole wa maana kwao.
Gwajima alishindwa kiuongozi kwa kila namna akiwa mbunge wa kawe leo hii Gwajima ameonekan wa maana Kwa chadema.huu ni mwaka wa mwisho kwao.
Kwa hiyo uchafu wa kina Mwigamba,Kitila,Wabunge haramu 19 ambayo CHADEMA iliwatema kwenu ni asali au siyo
 
HATUFANYO CHOCHOTE KWA KUAMRISHWA NA POLEPOLE YAANI TUANENDEELEA NA MCHAKATO WA UCHAGUZI HAYO MANENO ANAYOTAKA KUYASEMA ASEME TU MANENO MATUPU HAYAWEZO KUTUVURUGA HATA SEKNDE MOJA YAANI ANAJISUMBUA TU MANGAPI YASHASEMWA NA HAYAJATUHARIBIA KITU HATA ASEMA TUNA KULA WATU BADO SIY NENO GUMU KWETU ASITAFUTE KUTISHA WATU HALAFU AJE AJISIFU KUWA MWAKA FULANI NILIZUIA UCHAGUZI MIMI PUMBAFU HUYO SLOWSLOW

CCM mmeamka ila habari mbaya ni kuwa hatudanganyiki!
 
Hao watu ni WA kuwahurumia. Elimu ni tatizo. Hapo ni kihoro mnofu unaweza kuwa na wengine. Uroho na recognition yaani u star vinawala sana.

Huyo halijui alitendalo.

Aluta continua!
Kumbe na wewe imehamia CHAUMA? Mtaumia sana
Sisi tutamuunga mkono mtu yoyote atayekuwa kinyume na serikali ya CCM,hata Samia akigeuka Leo tutamsamehe.
Nyie endeleeni kuunga mkono CCM.
 
Nyie endeleeni kuunga mkono CCM
 
Ccm ikitema uchafu ndugu zangu wanaokota. polepole aliongoza mbinu chafu ya kufunga mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka 6 leo hii Chadema wanamuona Polepole wa maana kwao.
Gwajima alishindwa kiuongozi kwa kila namna akiwa mbunge wa kawe leo hii Gwajima ameonekan wa maana Kwa chadema.huu ni mwaka wa mwisho kwao.
Hao wote ni Watanzania.

Kwa hiyo mkuu huamini kwamba watu hubadilika?
 
Ccm ikitema uchafu ndugu zangu wanaokota. polepole aliongoza mbinu chafu ya kufunga mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka 6 leo hii Chadema wanamuona Polepole wa maana kwao.
Gwajima alishindwa kiuongozi kwa kila namna akiwa mbunge wa kawe leo hii Gwajima ameonekan wa maana Kwa chadema.huu ni mwaka wa mwisho kwao.
Vipi kuhusu hoja zao?
 
HATUFANYO CHOCHOTE KWA KUAMRISHWA NA POLEPOLE YAANI TUANENDEELEA NA MCHAKATO WA UCHAGUZI HAYO MANENO ANAYOTAKA KUYASEMA ASEME TU MANENO MATUPU HAYAWEZO KUTUVURUGA HATA SEKNDE MOJA YAANI ANAJISUMBUA TU MANGAPI YASHASEMWA NA HAYAJATUHARIBIA KITU HATA ASEMA TUNA KULA WATU BADO SIY NENO GUMU KWETU ASITAFUTE KUTISHA WATU HALAFU AJE AJISIFU KUWA MWAKA FULANI NILIZUIA UCHAGUZI MIMI PUMBAFU HUYO SLOWSLOW

Huu uzi wa 2021 huko, unakuhusu sana ndugu:

Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa

Nikifa MkeWangu Asiolewe nduguyo mwingine huyu hapa!
 
Walitubu lini na wapi? Wamesamehewa na Sugu/mwenyekiti kanda ya nyasa au CHADEMA nzima ndo imewasamehe? Hiyo haki inayopiganiwa na Gwajima na Polepole inainufaisha vipi CHADEMA?
 
Back
Top Bottom