SUGU,SILINDE.wabunge pekee wa mbeya

SUGU,SILINDE.wabunge pekee wa mbeya

Mohamed Mbelwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
507
Reaction score
272
Kwajinsi wanavyo watetea. Wakulima wafanyakazi, wamachinga, wafungwa walalahoi. Walivyotujengea mabarabara mataa barabarani mbeya mjini .utaona kuwa hakuna mbunge mwingine zaidi yao. Wanambeya tushirikiane 2015 tuongeze wabunge wengine wa upinzani
 
VIVA MAKAMANDA! Hawa ndo tunawahtaji humu nchini
 
hawa jamaa wanalialia kwa serikali iwasaidie ktk majimbo yao ili wasikose kura 2015
 
ndio mkuu jitaidi kuwaelimisha wale waendesha boda boda na vijana wengine wengi wajitokeze kwa wingi kupiga kura na wasihishie tu kwenda kwenye mikutano ya chama OVER.
 
sIKU HIZI ccm MPO wengi sana, naona ajira inalipa. Mbeya pamependeza sana now bana. Hongera sns Sugu aka Mzee wa Mambo ya fedha, mambo ya Fedha!!!! Mtaani watakukoma! Wimbo waukweli sana huo. Gooooo Chadema gooooo!! Mafisadi wajinyonge gooooooo! God ni wako tu. Kula CCM, kura Chadema na mkitaka laleni CCM, ila Kura Chadema, Wakitoa ubwabwa kuleni kwa maana ni pesa yenu iliyotumia kununua huo ubwabwa, vivyo hivyo na wakitoa Kanga, kofia
 
hawa jamaa wanalialia kwa serikali iwasaidie ktk majimbo yao ili wasikose kura 2015

ulitaka wafanyeje!? tukitumia nguvu mnasema tuna vurugu, tukitumia hoja zinazowagusa mnatuita wachochezi, tukiwaomba mnadai tunalialia!
sasa ngoja 2015 tatatumia zote kwa mpigo!
 
Back
Top Bottom