Hiyo form 4 yake inamtosha mi nliishia form 1 lakini kichwa changu au mambo yaliyo hapa naweza chuana hata na mkurugenzi wa tanesko au makatibu wa w/nishati na madini kuhusu mgao
mararamiko/malalamiko, maudhui/mauzui, muuguzi/muhuguzi, silaha/siraha. acha ujinga mkuu huku kukosea kosea maneno kwa kijinga kunawafanya wengine wasielewe kinachoendelea. kumbuka jf inasomwa na wengi duniani
Matatizo yao yalianzia mbali saaana ni kwenye unyonyaji wa Music lkn kuu kbs ni mradi wa Malaria.Khs wakosoaji kama umeelewa haina haja ya kukosoa mwenzio nmeangalia idadi kubwa ya waliokosoa nao wamekosea kama huamini rudia kuzisoma uone nao walivyokosea.Thx kama nimesomeka lengo ni kuelimishana na sio kuumbuana
Kwanza naomba samahani kwa makosa ya kutumia 'R' badala ya' L' hata hivyo nilitegemea mkosoaj wa kwanza baada ya kukosea angerudi kwenye mada na kunijuza, lakini ameishia kukosea na kuondoa. Mimi bado nina hamu ya kujua chanzo ni nini?
jamani wanajamii wenzang naomba kujua kwa yeyote anayefahamu chanzo cha mgogoro wa Ruge Mtahaba na Joeseph Mbilinyi .ak.a sugu ulianzia wapi na je hauna suruhisho.
Matatizo yao yalianzia mbali saaana ni kwenye unyonyaji wa Music lkn kuu kbs ni mradi wa Malaria.Khs wakosoaji kama umeelewa haina haja ya kukosoa mwenzio nmeangalia idadi kubwa ya waliokosoa nao wamekosea kama huamini rudia kuzisoma uone nao walivyokosea.Thx kama nimesomeka lengo ni kuelimishana na sio kuumbuana
Na sasa ni mbunge wa mbeya mjini kama maneno yako ya kusema alifeli form four na kwa kuwa ni mmoja watunga sheria naamini maandiko matakatifu "viongozi wetu wanatokana na jinsi sisi wenyewe tulivyo"