Alphanetcom
Senior Member
- Aug 26, 2013
- 124
- 84
Loading........
kuna watu sijui walizaliwa wapi
they are always there to seek cheap popularity
kuna watu humu mshukuruni lowassa na shule za kata
na utawajua hata kwa wanavyoviandika
guys we need to change
mnakera mnakera na hakuna anaewasifia
au sijui mnaweka nadhiri kwamba nitamtaftia mtu ban!!
acheni ushamba wa kizamani nyie mbuzi mawee!!!
hongera sugu na prof jizzy
Hahahahaaaa that's why I like you geniveros...wewe ni mbebz wa ukweli u know...nakupenda mpaka naumwa u know....😛
Kiukweli wanakera sana sijapata kuona...ni ushamba uliopitiliza wa kung'ang'ania jambo moja na kupenda ushindani...hata hivyo umemaliza mama nimeongezea nyama tu
Hata hivyo ukishawajua watu usihangaike nao tena wewe ndio utaonekana chizi...hunioni mimi?
No time to argue...
Uko wapi Bob huo wimboChorus sugu kaitendea haki. .verse ya prof J nimeipenda pale anapochana na kuachia watu waitikie. ..
Chorus sugu kaitendea haki. .verse ya prof J nimeipenda pale anapochana na kuachia watu waitikie. ..
kuna watu sijui walizaliwa wapi
they are always there to seek cheap popularity
kuna watu humu mshukuruni lowassa na shule za kata
na utawajua hata kwa wanavyoviandika
guys we need to change
mnakera mnakera na hakuna anaewasifia
au sijui mnaweka nadhiri kwamba nitamtaftia mtu ban!!
acheni ushamba wa kizamani nyie mbuzi mawee!!!
hongera sugu na prof jizzy
Hahahahaaaa that's why I like you geniveros...wewe ni mbebz wa ukweli u know...nakupenda mpaka naumwa u know....😛
Kiukweli wanakera sana sijapata kuona...ni ushamba uliopitiliza wa kung'ang'ania jambo moja na kupenda ushindani...hata hivyo umemaliza mama nimeongezea nyama tu
Hata hivyo ukishawajua watu usihangaike nao tena wewe ndio utaonekana chizi...hunioni mimi?
No time to argue...
Si kuna kapeti manyoya!!Kwanini wasanii wakiingia studio wanavua viatu? By the way nasubiri hiyo single - Big up Sugu & Mzee wa Mitulinga!!
Uko wapi Bob huo wimbo
Upo hulkShare Sugu n Professor Jay-Makamanda.
Msiwashangae hao ni tatizo la mama zao kupata mimba kwenye mkesha wa mwenge na kuwazalia guest na wengine wametokea kwenye njia ya haja kubwa.
Msiwashangae hao ni tatizo la mama zao kupata mimba kwenye mkesha wa mwenge na kuwazalia guest na wengine wametokea kwenye njia ya haja kubwa.
Hawa icon ya Bongo Fleva muda huu wako studio na tayari wameshaingiza sauti kwenye jisongi linakwenda kwa jina la Amsha amsha M4C tour 2014.
Hili dude kama umekunywa maji ya bendera ya CCM nakushauri usisikilize song hili, nadhani wote mnajuwa wana hiphop wanapoamuwa kuchana ukweli kwa mistari yenye vina, hili songi ni aleji kwa wana Lumumba wote.
Kinachoendelea sasa hivi studio stay tune:
Mkuu nipo hapa nje nasubiria
Tayari kitu kipo hewani kuna link nimeweka andika hiyo link ukapandishwe mizuka.