Sugu na Professa Jay Wapandisha mizuka studio usiku huu!

Ngoja niisibiri iyo ngoma ya hao wazee wenye flow za kizaman
 
kiba hajapewa korasi?

Wewe ni mmoja kati ya wajinga wachache wanaotaka kuligeuza hili jukwaa sehemu ya mabishano juu ya Ali Kiba dhidi ya Diamond...yaani hatuwezi kujadili mambo ya maana bila kuleta huu ujinga...
Badilikeni :thumbdown::thumbdown::thumbdown:
 
Unaelewa lolote kuhusu hiphop?

Nina miaka 20 toka nianze kufuatilia hiphop strictly.

Logic ya swali langu ni kwamba hao kina Kiba na Diamond huwezi wafananisha na Jay + Sugu kwa mantiki ya muziki waufanyao na ukongwe pia.

Tukirudi kwenye ulinganisho wa Pac na Jay ni kwamba both are legends katika game ya hiphop tukiachilia mbali shutuma za Jay kuwa soft siku hizi na blahblah nyingine ambazo still hazifuti ukweli kwamba JayZ ni among the best rappers of all time(alive and dead).

Kwa hili hata Game,Kweli,Mos Def,M.O.P,BCC,KRS na wengineo wanakili.

Word.
 
Nina miaka 23 toka nianze kufuatilia hiphop strictly.

Logic ya swali langu ni kwamba hao kina Kiba na Diamond huwezi wafananisha na Jay + Sugu kwa mantiki ya muziki waufanyao na ukongwe pia.

Tukirudi kwenye ulinganisho wa Pac na Jay ni kwamba both are legends katika game ya hiphop tukiachilia mbali shutuma za Jay kuwa soft siku hizi na blahblah nyingine ambazo still hazifuti ukweli kwamba JayZ ni among the best rappers of all time(alive and dead).

Kwa hili hata Game,Kweli,Mos Def,M.O.P,BCC,KRS na wengineo wanakili.

Word.

tamaduni muziki wanakuharibu!
 
Back
Top Bottom