Sugu na Professa Jay Wapandisha mizuka studio usiku huu!

Sugu na Professa Jay Wapandisha mizuka studio usiku huu!

View Profile: Matola
User Name: Matola
User Title: Banned
Last Activity: Today 08:33
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni mmoja kati ya wajinga wachache wanaotaka kuligeuza hili jukwaa sehemu ya mabishano juu ya Ali Kiba dhidi ya Diamond...yaani hatuwezi kujadili mambo ya maana bila kuleta huu ujinga...
Badilikeni :thumbdown::thumbdown::thumbdown:
hujui koneksheni ya point yangu na mada hii pamoja na mleta mada, so kaa kimya!
 
Nisogezee karibu basi mana nipo sehemu napata kirauri na hewani wapo Yamoto band wanafanya yao.

vipi?kibakuli yupo?eti king !!!king awe yeye hahahah king wa kwenye keyboard noumer mnakaaa nyuma ya keyboard na kuanza kugawa u king haya king bestnaso ,king zoro ,king sugu ,.......stamina ,Jo makini teh teh
 
But Matola a.k.a Carton barlet will remain stong,strong enough to defeat mods wanao shindana na le matola's kampuni.

Am not Matola but trust me this is unbetable society, na kama hujui fuatilia kwa kina humu tuna society nyingine ni TF Followship.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom