Sugu moto chiniii!!!

kweli sugu ni kama mvua! ndio maana magamba hawalali usingizi
 
Maisha ni kuishi na kujifunza,tawala dhaifu zisizo na mikakati yoyote ya maendeleo kwa hawa vijana wanaomaliza darasa la saba na wale form four feki toka shule za kata matokeo yake ndio haya matumizi ya nguvu za majeshi kamwe hazitafua dafu tz ya sasa sio ile ya 1947,sana sana serikali inatengeneza bomu ambalo likilipuka utaita hata magari ya zima moto toka marekani bado moto hautazima.
 
Pole sana, unaumia kweli sema ndo huna jinsi! vumilia tu ndugu!
 
kaka kama umekosa la kuandika nibora ukampumzika j2 hii.hv huo usanii wa sugu unakukera sana kweli nyani haoni masabuli yako mbona lidudu mtu lenu komba ni msanii na amefanya nini la maana.

Well said mkuu! Huyu Sugu1 ni punguwani,ccm mbona imeshakuwa na wabunge wasanii wengi tu? Mudhihir mudhihir, Captain Komba to mention the few. Sugu1 unampenda mh. Sugu na ndo sababu za kulitumia jina lake. Cheki rais wa Mbeya alivyotuliza wananchi wake. Katika ukweli lazima tukiri, Sugu moto chini.
 

Magamba wajinyonge au wasage chupa wanywe
 
Tabora wabunge wake wote wanatoka magambani vipi kuna maendeleo!?

Wajiulize kama wameridhika na umaskini wao basi waendelee kuwakumbatia hao mafisadi wanaojua kutoa ahadi na hawajui kutekeleza
 
Mbona unakimbilia ku judge,"walimshangilia kama msanii" why? unawasemea wao? kwanini basi isiwe kama mbunge? unaonekana una tatizo zaidi la kibinafsi nae

Kama hatakuwa kibonde huyu aliye judge basi ni mtu kutoka clouds
 

kumbe ilikuwa live show? sikujua!
 
Ccm kubalini hali halisi mliye mwita mhuni kafanya jambo kubwa kuliko nyie mnanjifanya mnabusara na mjifunze mabom na risasi za moto sio tija ktk kulianda amani bubu na kiziwi mnazohubiri na sasa tunasubiri hili la udini linaloubiriwa na ccm lilipuke cjui mtakimbilia wapi kama hatutaishia kuwagadafe
 
Aende Komba msanii kama atapata watu! Acha wivu
 
Kwenye mabango wanamtaja Sugu kama Rais wa Mbeya. CCM inawaita wahuni lakini hawa ndio wenye kura
 


Nilishawahi kusema polisi wetu ni unifomu tu hawana mbinu zozote za kukabiliana na vurugu kubwa, ona hapa hadi wanajeshi wameingilia.

Hata hao wanajeshi hakuna kitu mbele ya nguvu ya umma.
 

Sio Tanzania mjomba!!!
 

Hapa suala sio walimshangilia Sugu kama nani. Suala hapa ni kwamba Sugu ndiye ameweza kurudisha amani Mbeya na huo usanii wake!!! Mbona Kandoro na polisi wake walishindwa? Give a credit where it deserves la sivyo utakufa na kijiba cha roho!!!!

Tiba
 

Safi sana mkuu. Lakini analaysis nzito kama hizi watakuelewa kweli hawa magamba, si ndo utaona wanafanya semina elekezi tena.
 
Mbeya nchi rais Sugu! Viva wana Mbeya,mkoloni mweusi hana chake huko.
 
bravo kaka sugu.nilipendaalivyokuwa anaghani mashairi na wananchi kumshangilia. kweli ng'ombe hazeeki maini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…