Sugu moto chiniii!!!

Sugu moto chiniii!!!

Kiukweli SUGU ni rais wa Mbeya hilo halina ubishi,CCM hawana chao pale.
 
ukweli Sugu ameweza kusikilizwa na wananchi wake vizuri na wakamuelewa kuliko kiongozi yeyote wa serikali. Wengine tutapiga kelele zetu humu mara msanii lakini sijaona watu wanacheza pale kama mikusanyiko ya CCm wanavyoitwa muziki. Jiuize Kandoro anajisikiaje kuona watu wanamsikiliza sugu kuliko yeye RC, vyovyote vile siasa za Mbeya ni ngumu. Ombeni Mungu Mwandosya na Mwakyembe wapone vinginevyo CCM mtapata shida sana Mbeya
 
Mbeya mmekuwa mfano wa kuigwa kwa peoples power.
 
....Umejiunga juzi tu kuja kuandika pumba hizi...? Watu wamepigwa, umizwa na uawa na akili zako zilizo ktk masaburi unafikiri within 24 hrs wana shida ya kumuona msanii...?

Ulivyo kilaza unasema yy hana kitu halafu unajiita sugu1...... !! Kweli cameroon kawaharibu....
Mbona unajikanyaga hivyo? mara mmeona alivyokusanya watu, mara wabaya wa SUGU mtachonga, mara hawampendi wanaona hafai. Kumbe hata wewe unajua hafai unawatupia watu mpira. SUGU anajua nini , kukusanya watu siyo kigezo cha kuweza, tulishaona ona wanasiasa wengi wakikusanya watu wakiwemo akina SLAA , lakini ndo kama hivyo wanaweza nini? siasa za hasira, majungu, kashfa majukwaani na kelele za njaa ndiyo kuweza. Halafu ukumbuke kuwa SUGU ni msanii , Watu wengi wanaweza kuwa na Shauku ya kwenda kumuona Msanii na siyo Mbunge.
 
hii mikoa ya Arusha, Mwanza na Mbeya ni halali yake kuitwa mikoa mikubwa tz

Hivi unajua ni kwa nini hii mikoa ina vurugu? ni kwa sababu wabunge wake nao ni vurugu, hawana busara na zaidi ni VILAZA kwa hiyo bila kufanya hivyo CDM itawatema mwaka 2015. Hujiulizi kwa nini ROMBO, DAR, KIGOMA na kwingine ambako kuna wabunge wa CDMA hakuna vurugu? Hawa ni watu ambao wamekotwa mitaani kwenda kuwa wabunge, so itachukua muda wananchi wa mikoa hiyo kupata maendeleo kwa vile VILAZA wao wanatafuta umaarufu ilil waweze kurudi tena mwaka 2015. Waulize wananchi wa maeneo hayo mpaka sasa LEMA, WENJE NA SUGU wamefanya nini katika majimbo yao mbali na migomo na maandamano.
 
Kwa hiyo amefanikiwa kutuliza hali ya mambo?
Ndiyo mkuu, wananchi wanamtii mbunge wao kuliko mkuu wa kaya. Kila alichokuwa akiongea walikuwa wakimshangilia na kumwitikia. Amesema amekubaliana na mkuu wa mkoa kuwa wote waliokamatwa waachiwe na kesho wananchi warudi ktk maeneo yao waliokuwa wanafanyia biashara na kuendelea na shughuli zao kama kawaida mpaka hapo utaratibu mwingine utakapotangazwa na serikali.

Kandoro kachemka ikabidi amwombe mbunge kuongea na wananchi na kuwatuliza. Sugu anapendwa na kuaminiwa na wapiga kura wake huo ndio ukweli wenyewe.
 
Humu Jf kuna watu wana wivu wa kike wanakuwa kama matwahuti vile! Kwanini hutaki kukubali ukwel?nimekaa mbeya tangu 2009 had 2011 mwezi wa 8 ukwel ni kwamba sugu anakubalika sana kupita maelezo! Kwa nn watu mnakuwa na hulka za kichoko?
 
Hivi unajua ni kwa nini hii mikoa ina vurugu? ni kwa sababu wabunge wake nao ni vurugu, hawana busara na zaidi ni VILAZA kwa hiyo bila kufanya hivyo CDM itawatema mwaka 2015. Hujiulizi kwa nini ROMBO, DAR, KIGOMA na kwingine ambako kuna wabunge wa CDMA hakuna vurugu? Hawa ni watu ambao wamekotwa mitaani kwenda kuwa wabunge, so itachukua muda wananchi wa mikoa hiyo kupata maendeleo kwa vile VILAZA wao wanatafuta umaarufu ilil waweze kurudi tena mwaka 2015. Waulize wananchi wa maeneo hayo mpaka sasa LEMA, WENJE NA SUGU wamefanya nini katika majimbo yao mbali na migomo na maandamano.

Acha hasira na wivu wa kike!
 
hii mikoa ya Arusha, Mwanza na Mbeya ni halali yake kuitwa mikoa mikubwa tz

Hii ni mikoa ya wasomi [ WANYAMBALA] hawatishiki na ucameroon wa mtu, sio kama pwani kwa wakwereeeeee!!
 
Hivi unajua ni kwa nini hii mikoa ina vurugu? ni kwa sababu wabunge wake nao ni vurugu, hawana busara na zaidi ni VILAZA kwa hiyo bila kufanya hivyo CDM itawatema mwaka 2015. Hujiulizi kwa nini ROMBO, DAR, KIGOMA na kwingine ambako kuna wabunge wa CDMA hakuna vurugu? Hawa ni watu ambao wamekotwa mitaani kwenda kuwa wabunge, so itachukua muda wananchi wa mikoa hiyo kupata maendeleo kwa vile VILAZA wao wanatafuta umaarufu ilil waweze kurudi tena mwaka 2015. Waulize wananchi wa maeneo hayo mpaka sasa LEMA, WENJE NA SUGU wamefanya nini katika majimbo yao mbali na migomo na maandamano.

wewe ni mlango wazi
 
Magamba wanachanganyikiwa kila eneo! Magamba wa CCM hamtakiwi kabisa kwa wananchi mmepaki nyie na vibaraka wenu watoto wenu.
 
....Umejiunga juzi tu kuja kuandika pumba hizi...? Watu wamepigwa, umizwa na uawa na akili zako zilizo ktk masaburi unafikiri within 24 hrs wana shida ya kumuona msanii...?

Ulivyo kilaza unasema yy hana kitu halafu unajiita sugu1...... !! Kweli cameroon kawaharibu....

wivu mbaya.
 
Hivi unajua ni kwa nini hii mikoa ina vurugu? ni kwa sababu wabunge wake nao ni vurugu, hawana busara na zaidi ni VILAZA kwa hiyo bila kufanya hivyo CDM itawatema mwaka 2015. Hujiulizi kwa nini ROMBO, DAR, KIGOMA na kwingine ambako kuna wabunge wa CDMA hakuna vurugu? Hawa ni watu ambao wamekotwa mitaani kwenda kuwa wabunge, so itachukua muda wananchi wa mikoa hiyo kupata maendeleo kwa vile VILAZA wao wanatafuta umaarufu ilil waweze kurudi tena mwaka 2015. Waulize wananchi wa maeneo hayo mpaka sasa LEMA, WENJE NA SUGU wamefanya nini katika majimbo yao mbali na migomo na maandamano.

mwanza, mbeya, arusha majiji haya kaka wanajua nini maana ya haki. Mpongeze sugu kwa kuleta amani mby city.
 
Sugu kazima bifu pale nadhani ni fundisho tosha, sasa sijui kandoro ana kasoro gani yule ndugu yangu mnyalukolo wa ihemi. maan kila anakokanyaga zegele
 
Nini kushangiliwa, MREMA alisukumwa mwaka 1995 sembuse kushangiliwa. Walimshangilia kama Msanii wa Kizazi kipya siyo kama Mbunge. Wana Mbeya walishamsoma SUGU kuwa ni mpenda sifa , hivyo ni lazima wampe haki yake. Wanajua wazi kwamba pale hawana Mbunge bali msanii

naona unamkubali kiaina ila wivu 2 unakusubua naona umeamua kutumia jina lake.
 
Sugu anakubalika mbeya wewe unatumia ID yake halafu unamponda acha "wivu wa kike" Sugu for Mbeya wanakuita sugu sugu sugu suguuuu nataka kua kama tupac itikadi zangu nazieleza kwenye mic na hata nisipokuepo sauti inavuma kama upepo kila siku kwenye ziara kama rais ch•ko utazima zako sugu ni kama mvua akiamua kunyesha nanyesha kasheshe zangu nzito utoweza peke yako nikiamua kukomaaa mpaka promota anadata hoya sugu mambo sugu sitokataa wanavyonita sugu wakati mimi ni sugu••Magamba mnatamani mfe jinsi sugu anavyokubalika
 
Hivi unajua ni kwa nini hii mikoa ina vurugu? ni kwa sababu wabunge wake nao ni vurugu, hawana busara na zaidi ni VILAZA kwa hiyo bila kufanya hivyo CDM itawatema mwaka 2015. Hujiulizi kwa nini ROMBO, DAR, KIGOMA na kwingine ambako kuna wabunge wa CDMA hakuna vurugu? Hawa ni watu ambao wamekotwa mitaani kwenda kuwa wabunge, so itachukua muda wananchi wa mikoa hiyo kupata maendeleo kwa vile VILAZA wao wanatafuta umaarufu ilil waweze kurudi tena mwaka 2015. Waulize wananchi wa maeneo hayo mpaka sasa LEMA, WENJE NA SUGU wamefanya nini katika majimbo yao mbali na migomo na maandamano.

Tabora wabunge wake wote wanatoka magambani vipi kuna maendeleo!?
 
Back
Top Bottom