Sugu moto chiniii!!!


Dah, jf raha sana. Unaongea hadi mapovu yanatoka. Uwe na moyo mkuu. Hivi kati ya Mby, Ars, Mwanza, Lindi, Mtwara, Ruvuma, wapi kuna maendeleo?
 
Jazba na hasira ni dalili za wivu na kukosa hekima na busara. Mwenzio Masaburi humsikii kabisa. Kandoro kasalimu amri, wee vipi?

Mwambie, kati ya watu ambao hawasomi nyakati ni pamoja na huyu jamaa anajaribu kupingana na ukweli.
 
Maelfu ya wananchi waliofika kuusikiliza mustakabali wa wafanyabiashara wadogowadogo maarufu kama machinga kuendelea na biashara zao katika maeneo yao ya awali, wakati utaratibu ukiandaliwa na halmashauri ya jiji la Mbeya.

Duh! tatizo bado liko palepale serikali badala ya ku-discuss tatizo na kulitafutia ufumbuzi wanawatisha wananchi na kuanza kuspeculate invisible forces. But to be frank hakuna amani kabisa kama hao vijana hapo juu hawana ajira. Aisee this is too many youths in Mbeya, we were not as many when we were growing up. At least by then I could recognize almost any face around not into that group. Ukijiuliza viwanada vingapi vimejengwa toka enzi hizo zaidi zaidi unakuta kuna vilivyokufa na 1 or 2 extra. Something seriously has to be done kuhusu ajira ya vijana, otherwise ni bomu tulilokalia tayari kulipuka wakati wowote!
 

Tunaelewa na ww pia ni kiumbe una haki ya kuishi na kuonyesha tabia zako!!hivyo tutakuvumilia tu tutafanyaje sasa na unahitaji kuexist!!no way out. Lakini ningekuwa na uwezo ningekufanya utoweke tu kwenye uso wa dunia.Maana u don hv a role to play on earth!!
 

Tunaelewa na ww pia ni kiumbe una haki ya kuishi na kuonyesha tabia zako!!hivyo tutakuvumilia tu tutafanyaje sasa na unahitaji kuexist!!no way out. Lakini ningekuwa na uwezo ningekufanya utoweke tu kwenye uso wa dunia.Maana u don hv a role to play on earth!!
 

Wivu na gubu vikizidi vinakera.
 

Maandamano na migomo ndiyo yaletayo mabadiliko kwani huwaondoa wezi na manyang'au katika madaraka na wenyenchi kuanza kufaidi matunda ya nchi yao. Kauli zako zinaonyesha kuwa mafisadi wako mtero na inabidi wakae karibu na choo.
 

Lazima ujue kutofautisha mambo mzee (au mwanamama kama wewe ni wa kiki). Mrema alisukumwa kipindi kile kama mgombea urais. Sasa tofauti na sasa hivi watu wanawakubali CHADEMA kuanzia ngazi za chini wakiwamo wabunge kama sugu. Ina maana CHADEMA inakubalika zaidi katika idara zote sio kwe mgombea urais tu. Kwa hali hii CCM wajipange tu kuachia madaraka kwa amani na wasijaribu kulazimisha kutawala vinginevyo hali ya nchi itakuwa kama Libya. Wajifunze na wasome mazingira. Kama viongozi wa CCM akiwemo Rais wanaelewa thamani ya maisha ya binadamu waanza kujiandaa kuachia maofisi mapema.
 
Kweli jf raha,kwa hiyo Kigoma ndo kwenye maendeleo? Na hayo maendeleo ni kwa vile hakuna vurugu? Pole!
 

Tunaelewa na ww pia ni kiumbe una haki ya kuishi na kuonyesha tabia zako!!hivyo tutakuvumilia tu tutafanyaje sasa na unahitaji kuexist!!no way out. Lakini ningekuwa na uwezo ningekufanya utoweke tu kwenye uso wa dunia.Maana u don hv a role to play on earth!!
 

wemwenyewe unajiita sugu1.cheki jazba hadi mapovu yanakutoka kama umelamba sumu ya mende.
 
Well I do respect other peoples opinion,but on this particular case I think you are holding personal vendetta not just against sugu but against opposition parties!!so keep those godamn opinions to yourself or else go to hell
 
Tunatambua kwamba chama cha mafisadi kime capitalise on fools and illiterates sidhani kama wewe una fall under that category,wake brother and emanciapate yourself from the tentacles of this tyrany
wemwenyewe unajiita sugu1.cheki jazba hadi mapovu yanakutoka kama umelamba sumu ya mende.
 
Rais ni kiarabu na Raisi ni kiswahili. Neno lolote la kiswahili lazima liishie na vaweli za a,e, i,o, u au wengine husema irabu. Hivyo ni makosa kuandika neno lolote la Kiswahili bila kuishia na vaweli.

Mkuu kwa hiyo magazeti yetu yote hapa Tanzani huwa yanaandika kiarabu?

Kila gazeti linatumia neno Rais
 
Kimsingi hii ndo sababu wamemkataa asiwasikilize kwani wao hawakumtuma aongoze MBY bali JK.Kiongozi wanayeona ana uhalali wa kisiasa kujibu na kushughulikia kero zao ni SUGU kwani ndo wana mkataba naye juu ya mustakabali wa maisha na maendeleo yao.KANDORO HANA CHAKE AKAMSIKILIZE JK ALIMTUMA KUFANYA NINI MBY?Kwa kitendo hicho wamechangia dai mojawapo ktk katiba mpya ambalo ni wakuu wa mikoa au majimbo wachaguliwe ili wawajibike kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…