Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,550
inaonekana jamaa huyo amevulugwa kwani vijijini kuna watu wemgi ama anataka sifa tu
Yeye ni mbunge wa Mbeya mjini afu unataka aende Mbeya vijijini!?
inaonekana jamaa huyo amevulugwa kwani vijijini kuna watu wemgi ama anataka sifa tu
mtaona kata ya nonde waelewa sema simu inagoma kuaplod mngeona mnavyohutubia watoto,------- nyinyi, michadema lazima mivinyesi iwasambae usoni... Nitam2mia mdau yoyote aliyetayari aziatachi. Wezi wakubwa nyie
ANGALIA NYUMA YAKo

Wafuasi wa ccm bwana, sijui ndo kutojitambua!? wameanzisha thread hapa mbwembwe nyiingi, matusi kibao kama kawaida yao afu wameishia kuikacha thread.
By Sugu:
Dampo la taka kwa kata ya Nonde kaahidi kulipatia ufumbuzi.
Kaahidi kusaidia ujenzi wa ofisi ya Chama kata.
Wananchi wameomba Bwawa la samaki,kaahidi kuja na wataalamu waje kuitathimini hali ya mto Nonde.
Mgogoro wa machinga kauzungumzia na kuahidi kulitatua Pasipo kuharibu taratibu zilizowekwa na kuwaumiza vijana wa mby.
Pia kaomba maoni kwa njia ya Kuandika kwa wale wasio hitaji Kuzungumza.
Mwisho.
Me siyo mzuri kwenye siasa kwa muda mchache niliomsikiliza,Wana Mbeya wanamhitaji sana huyu jamaa,hata kama ana mapungufu hakuna aliye kamilika,wampe nafasi akamilishe mipango yake ya maendeleo kwa jiji la mby.
Haya wanasiasa endeleeni...... Wife kashtuka anajua ndo yaleee ya akina Lusinde.
Nilijua tu kwamba utaishia kutuandikia matapishi.mtaona kata ya nonde waelewa sema simu inagoma kuaplod mngeona mnavyohutubia watoto,------- nyinyi, michadema lazima mivinyesi iwasambae usoni... Nitam2mia mdau yoyote aliyetayari aziatachi. Wezi wakubwa nyie