Wadau nipo hapa kwenye mkutano wa mbunge jimbo la Mby mjini Sugu.. Naomba michango yenu nataka nimuulize maswali kadha wa kadha ktk jimbo hili. Naomba msaada wenu wadau, ile mkutanoni naona watoto wengi balaa
Muulize, bunge lijalo atamkunja askari gani? atamtukana waziri gani?
Muulize, bunge lijalo atamkunja askari gani? atamtukana waziri gani?
Kwani we robot? Ulipokuwa unaenda hapo ulituomba tukutume?
Weka bana.Niko hapa acha uongo idadi ya watu kwa kata ni wengi saaana soon naweka pic
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Niko hapa acha uongo idadi ya watu kwa kata ni wengi saaana soon naweka pic
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
naifaham hiyo kata, ni kata pekee isiyo kuwa na maendeleo mbeya mjini, imejaa wachawi , wezi, in short iko hivyo kutoka nipo mtoto diwani ndiyo huyo huyo na sijui 7bu gani anapewa umeya wa jiji najua ni sababu ya ugagula wa ccm ndiyo maana na sugu anapeleka maendeleo lego M4C
weka picha za watoto hata mimi ninazo sema simu inazingua,kama wakizidi 20, najiondoa jf, chezea Ccm wewe... Tutawachapa mufe kibudu.
muulize ktk jimbo lako la mbeya kunamatatizo mengi sana ila tunakuomba utueleze ulipokuwa bungeni uliwakilisha matatizo yetu au ulikwenda kukunja wenzako? pili toka tukuchague kwa kura nyingi ni nini umeishafanya kulipa fadhila za wapigakura wako??Wadau nipo hapa kwenye mkutano wa mbunge jimbo la Mby mjini Sugu.. Naomba michango yenu nataka nimuulize maswali kadha wa kadha ktk jimbo hili. Naomba msaada wenu wadau, ile mkutanoni naona watoto wengi balaa
hacha asila mwenzako anania njema ili kutujuza kinachoendeleaKwani we robot? Ulipokuwa unaenda hapo ulituomba tukutume?
Niko hapa acha uongo idadi ya watu kwa kata ni wengi saaana soon naweka pic
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
wewe kijana unataka nitaje jina lako na mahala ulipo?? acha mbwembwe! wewe mwenyewe unajua Sugu ni ----- tuNiko hapa acha uongo idadi ya watu kwa kata ni wengi saaana soon naweka pic Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
mtaona kata ya nonde waelewa sema simu inagoma kuaplod mngeona mnavyohutubia watoto,------- nyinyi, michadema lazima mivinyesi iwasambae usoni... Nitam2mia mdau yoyote aliyetayari aziatachi. Wezi wakubwa nyie