Ananesa wapi? Katika wabunge wote, huyu ndiye kilaza number moja! Hana cha kuongelea? Kila siku lazima amtaje kusaga?
Nimependa kujembe alichopigwa na wazir, aache ujinga wa kuimbana! Wanaume wanapeana live, siyo kupigana majungu kwenye nyimbo
ww utakua ni kichaa tu. Huna hata aibu. Lione kwanza umekaa kichawi chawi tu arrrrrgggghhhh
We kilaza, sometimes shirikisha ubongo kwenye kujibu hoja ! Kuna kusoma kwa kutojua kusoma, hilo lijue kuanzia sasa![/QUO
TE]
Heee!!!! Hivi na wewe ni wa kumwita mwenzio kilaza? Hivi kuna kilaza kama wewe Rejao humu jf?
Word...!! Hii issue ya kila anapochangia
kuponda wakina Kusaga sidhani ka
inazidi kumjengea...
Si shangai wewe kusema hivyo maana ni kawaida yako kuropoka. Lakini habari ndiyo hiyo.Huyo jamaa nilimsikiliza kama dakika moja hivi nikaona anapiga kelele tu, hata kuongea hajui.
Faizafoxy ni kiburudisho........,wakulu wana raha
Hebu nenda kajifunze kwanza kuquote post za wenzako ndio uje kukoment hapa! Nyie ndio wale wale akina Sugu, no shule kabisa!!Heee!!!! Hivi na wewe ni wa kumwita mwenzio kilaza? Hivi kuna kilaza kama wewe Rejao humu jf?
Kwahiyo Sugu siku hiz anaimba taarab? Dume zima, linamgwaya mwenzake na kumtaja taja kila saa! Au anataka mambo flan kutoka kwa Kusaga na Ruge?Kwenye vilaza hapo inategemea na mtizamo wa mtu. Vipi kuhusu Tyson, au akiwa wa magamba hasemwi?? hili la wanamuziki nadhani kama style ya mauzo na matamasha ya muziki wa kitanzania huyajui, ni ngumu sana kumueewa Sugu. Wenye fani hiyo tunamuelewa sana
Hebu nenda kajifunze kwanza kuquote post za wenzako ndio uje kukoment hapa! Nyie ndio wale wale akina Sugu, no shule kabisa!!
Unataka akufanyeje au akufanyie nini ili uone 'makelele' kama kilio cha haki kwa wanyonge? Acha Ubinafsi FaizaFoxyHuyo jamaa nilimsikiliza kama dakika moja hivi nikaona anapiga kelele tu, hata kuongea hajui.
Pengine ni kweli haimjengi...lakini ni kweli pia inawabomoa kina Ruge na ndio maana sasa wanataka suluhu na Sugu
Kwa kelele anazopiga kila siku ka zinawabomoa wakina Kusaga, nadhani zingekuwa zimewabomoa muda sana na tungesikia kwenye media zao kila siku wanajisafisha. Sijasikia ka jamaa wanataka suluhu na Sugu, na waombe suluhu kwa lipi hasa na Sugu kama nani hadi wamuogope?!
oiiii! hadi wewe usikie sio?Kwa kelele anazopiga kila siku ka zinawabomoa wakina Kusaga, nadhani zingekuwa zimewabomoa muda sana na tungesikia kwenye media zao kila siku wanajisafisha. Sijasikia ka jamaa wanataka suluhu na Sugu, na waombe suluhu kwa lipi hasa na Sugu kama nani hadi wamuogope?!