usininukuu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 380
- 44
Big up Sugu
Padre....Huna kingine cha kuandika?Wewe una ilimu madrasa huna kingine Karibu supu ya kitimoto
Huyu anadhalilisha wachungaji/mapadre na wakristo wote kwa ujumla!!Itabidi kwanza uache kazi ya serikali.BTW nilidhani wewe mchungaji!lol
Hii status ya Rev nakumbuka ulipoanza kuitumia, i remember you was once upon a time just "Masanilo".
Sasa ulielewa au hukuelewa acha kumchukia mtu bila sababu mbona pinda wakati anatoa tamko la kuwatishia kuwafukuza madaktari waliogoma alikuwa anasoma lakini hatujakuona unapopoma humu mpaka povu likutoke mdomoni kama ulivyofanya sasa kwa Sugu.Jamaa linasoma linatazama chini, hana art ya kutoa hotuba, hajui kama anachukuliwa live na TV, jamani wakachukuwe mafunzo ya "public speaking" na mass communications, hotuba imeja u "mimi", nimemsikiliza tena sasa hivi, ndio kanikirihisha kabisa.
Sasa bunge linaingiaje hapo?mkuu kama unakumbuka kuwa kuna kipindi madiwani wa chadema walitoka kweye ukumbi wa mikutono yao kikao kilipo kuwa kinaendelea issue ilikuwa ni hii hii
N sasa hivi nasikia kuna bifu kubwa sana la chini chini kati ya madiwani wote (CCM & CHADEMA) dhidi ya meyor hapakaliki
sijakuelewa swali lako vema , Labda anawasilisha bungeni kwa wahusika wote wajue ukubwa/ugumu wa tatizo kama nilivyosema hapa Mbeya hawa jamaa hawaendeni kabisa source ni pamoja na mambo mengine ila Meya hataki machinga wafanyie biashara zao ktkt ya mjiSasa bunge linaingiaje hapo?
Nchimbi anautaka urais! je akiupata huo urais Sugu atakimbilia wapi?
acha matusi kwa mbunge wetu! ww na sugu nani mwimba taarabu? ww unashinda huku kumponda sugu mtu ambaye hata hakujui na hauna ugomvi nae! Jiheshimu ushapevuka sasa!Kwahiyo Sugu siku hiz anaimba taarab? Dume zima, linamgwaya mwenzake na kumtaja taja kila saa! Au anataka mambo flan kutoka kwa Kusaga na Ruge?
Ina maana watu wa mbeya hawakujua kama jamaa ni mshamba? ww sio mshamba? aua kwa ajili hatukujui ndio maana unajishaua?Jamaa bonge la mshamba anavisasi vya kizamani sana. Anmchukia ruge kama alikuwa muumbaji wake. ataacha lini kuwaiga wamerekani kuongea? Utanzania kauwacha mbali sana Je kama angezaliwa marekani si angetembelea kichwa huyo? SUGU UNAKERA BADILIKA visasi si hulka njema.
Mkuu MTM, kumwaga cheche ni kutema moto bungeni. Kutoa maneno makali ya moto ambayo yanachoma kama cheche za moto ambazo zikisaambaa nyikani zaweza kulipua moto.pasco... Kumwaga cheche ndio nini?
Huyo jamaa nilimsikiliza kama dakika moja hivi nikaona anapiga kelele tu, hata kuongea hajui.
Hilo likitokea basi ujuwe na Yesu ndio anarudi duniani kuhukumu wazima na wafu.siku Nchimbi atakayoapishwa rais,ndio siku Tanzania itaingia rasmi kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe..
Nchimbi anautaka urais! je akiupata huo urais Sugu atakimbilia wapi?
Huyo jamaa nilimsikiliza kama dakika moja hivi nikaona anapiga kelele tu, hata kuongea hajui.