Pia amesema Nchimbi kaweka " washkaji" zake kwenye kamati ya vazi la taifa,hawana utaalam wowote
kwanza vazi la taifa si ni rubega na kaniki kwa kina mama,sasa kamti ya nini kama si ufisadi tu.ni kweli watalazimiswa( ofisi za serikali) kulinunua kama gazeti la uhuru
Jamani naomba kujuzwa hivi kati ya mh. Sugu na mh. Nchimbi kuna nini mbona wanapigana vijembe vya taarabu bungeni? Mpaka nimetamani hata kuzima tv.
Usidanganyike kijana kuwa kuna mwana siasa yuko pale kukutetea wewe, ile ni kazi yao ya kuwaingizia vipato vya ziada na kuwaongezea umaarufu. Wapi kwingine watapata coverage ya TV na kujiongezea umaarufu huku wanalipwa zaidi ya pale? fikiri.
Nnakuhakikishia hakuna hata mmoja anaegombea ubunge akawa yuko kwa nia ya kusaidia wengine, kwanza ni kujisaidia yeye mwenyewe. Wanafik tu, hawana lolote. Pale ni njia ya mkato.
vazi la taifa my foot!!
Ng'wanza Madaso, usihangaike na huko 'kikongwe', muda woote kiko online (na si mobile - ni kwenye komputa)! Kinapika saa ngapi, kinakula saa ngapi au muhimu kinafanya kazi saa ngapi. Naona kiko kweye payroll ya magamba.Kijana usiyekuwa na huruma kwa vijana wenzako,huyu Mh(MB) Mwanaharakati Mtetezi wa wanyonge a.k.a Sugu anawatetea wanyonge wewe unaona ka vile anapiga kelele,kuna siku utakuja kumkubali kwa haya mazuri anayoyafanya
Hivi hilo vazi kuna watu watalivaa kweli?
Labda viongozi na wale watakao pewa kama nguo za msaada.
Me?
Over my dead boby.
Wakati wa majumuisho, Nchimbi kaipangua hii hoja na kumopaka sana Sugu kuwa hawezi kuwateua watu makini eti tuu kwa sababu anajua fulani ana bifu na fulani. Pia akapaka hauwezekani ugomvi udumu zaidi ya miaka 10, ukishakuwa mbunge ni kiuongozi wa umma, hivyo sasa wewe ni kioo cha jamii, sahau yaliyopita songa mbele, haya ma bifu mpaka kuimbana na kutukanana matusi mpaka ya nguoni sio mambo!.
Word...!! Hii issue ya kila anapochangia
kuponda wakina Kusaga sidhani ka
inazidi kumjengea...
Kijana usiyekuwa na huruma kwa vijana wenzako,huyu Mh(MB) Mwanaharakati Mtetezi wa wanyonge a.k.a Sugu anawatetea wanyonge wewe unaona ka vile anapiga kelele,kuna siku utakuja kumkubali kwa haya mazuri anayoyafanya
Wakati wa majumuisho, Nchimbi kaipangua hii hoja na kumopaka sana Sugu kuwa hawezi kuwateua watu makini eti tuu kwa sababu anajua fulani ana bifu na fulani. Pia akapaka hauwezekani ugomvi udumu zaidi ya miaka 10, ukishakuwa mbunge ni kiuongozi wa umma, hivyo sasa wewe ni kioo cha jamii, sahau yaliyopita songa mbele, haya ma bifu mpaka kuimbana na kutukanana matusi mpaka ya nguoni sio mambo!.
Ananesa wapi? Katika wabunge wote, huyu ndiye kilaza number moja! Hana cha kuongelea? Kila siku lazima amtaje kusaga?sugu ni jembe! Jinsi anaoongea bila kigugumizi utadhani anamwaga mistari. Nimependa staili yake ya kuongea huku ananesanesa yaani hadi raha.
Dada yangu FF, kwani kwako Chadema wanajua kuongea?, wanaojua kuongea si ni CCM tuu?, Chadema wao si ni kupiga tuu kelele?.
Nchimbi katika majumuisho, amemkubali.
Kitu kimoja muhimu tukubaliane, sisi binadamu, sio tuu tunatofautiana uwezo wa kuelewa, bali pia tunatofautiana uwezo wa kiwango cha kusikia, wakati mwingine anasikia kikawaida kwa mwingine ni kelele kama ilivyo kulia na kucheka zote ni kelele!.
Hahahah...alikuwa anasoma, mbaya zaidi hata kusoma hajui!
Ananesa wapi? Katika wabunge wote, huyu ndiye kilaza number moja! Hana cha kuongelea? Kila siku lazima amtaje kusaga?
Nimependa kujembe alichopigwa na wazir, aache ujinga wa kuimbana! Wanaume wanapeana live, siyo kupigana majungu kwenye nyimbo
huyo jamaa nilimsikiliza kama dakika moja hivi nikaona anapiga kelele tu, hata kuongea hajui.