Sugu atikisa Makambako

Hivi ni kweli tumefika mahali ambapo uwezo wa mtu kisisasa unapimwa kwa idadi ya watu waliohudhuria mkutano wake na si hoja zake au matendo yake?
 
Hivi ni kweli tumefika mahali ambapo uwezo wa mtu kisisasa unapimwa kwa idadi ya watu waliohudhuria mkutano wake na si hoja zake au matendo yake?

Hivi unaelewa kweli hata kitu ulichokiuliza hapo?unajielewa kweli wewe?,hivi watu watajaaje Kama hauna sera?
 
Ukishindwa kupima kwa mambo yanayoonekana, plz usijisumbue kwa yasiyoonekana wewe siyo yesu au mungu, wengi tunapongeza chadema, iweje wewe peke yako!
 
[/QUOTE]

Ingekuwa ni chakula ningeuita mchemsho.
aneweiy zito jumba ndo lishamuwakia akiwa ndani, maneno haya angesema hali ya hewa akiwa safi tungemuamini, lakini sasa ni sawa na kuifukuzia meli kwa kupiga mbizi.
 
anasifika pia kwa uwezo wake wa kuzuwia pombe kali tofauti na c.c.m kuanzia kiti hadi wasinziao.bora kidogo lembeli
 
Hapo kwenye red: Shetani lazima atajwe wazi wazi tena hadharani ili watu wamjue na kuepukana naye...Zitto ni shetani lazima kila mtu amjue shetani na hila zake..
 
Ingekuwa ni chakula ningeuita mchemsho.
aneweiy zito jumba ndo lishamuwakia akiwa ndani, maneno haya angesema hali ya hewa akiwa safi tungemuamini, lakini sasa ni sawa na kuifukuzia meli kwa kupiga mbizi.[/QUOTE]

Hahahaa nilikata kusema the same, ila umeiiweka sawa zaidi, kufukuzia meli kwa kupiga mbizi..
 
Namfananisha SUGU na Bendera ambayo inategemea upepo ili kujua muelekeo wake.
 
Hivi ni kweli tumefika mahali ambapo uwezo wa mtu kisisasa unapimwa kwa idadi ya watu waliohudhuria mkutano wake na si hoja zake au matendo yake?

ko wewe unadhani wanao kusanyika hawajapima hoja na matendo ya Sugu wamekubali ndo mana wanafulika muache muwakilishi wa vijana na watanzania wa chini azidi ku shine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…