Sugu apata soko la maharage nje ya Nchi, Wakulima kazi kwenu

Sugu au Sugunyo ni form leaver Tena failure,ila ni mwenye exposure kubwa sana na kujiongeza kwa sana,street smart na kwa sugu ni ushahidi kuwa education system ndio inayo fail sio mtu.Tujiongezeee
Bora hata wewe, sasa nikiuliza mtu anakuja ku attack yani hajui hata lengo la swali.
 
CHADEMA inatekeleza agenda ya maendeldo ya watu kwa vitendo na ndiyo maana viongozi wake wanaojua kujiajiri mfano Joseph Mbilinyi Sugu , Meya Boniface, Freeman Mbowe, Mungai, Peter Msigwa na wengine wengi wanafaa kuongoza nchi katika kuanzia udiwani hadi uongozi wa juu nchini ili maendeleo ya watu yapatikane.

Tofauti na wale wa chama dola kongwe, ni waajiriwa wa serikalini na bungeni hivyo hawajui biashara wala maana ya kujiajiri hivyo muda wote sera za CCM ni kukandamiza raia waliojiajiri kama wakulima, wavuvi, wafugaji,wafanyabiashara.

CCM wanawaza kuweka mageti kuzuia mazao ya wakulima, hawana mpango kuweka mazingira ya uvuvi yawe mazuri ingawa tuna bahari na maziwa yenye samaki, wanafungia magazeti binafsi, wanavyeka mazao ya mbogamboga (horticulture), kubomoa kumbi za starehe Bilicana n.k hii ni Kwa sababu viongozi wa CCM waliopo madarakani hawakuwahi kujiajiri kwa namna yoyote wanasubiri pensheni ya wastaafu ya waajiriwa wa serikalini na katika chama pale Lumumba na makao makuu ya CCM.
na mdude nyagali ana mradi gani mkuu na erythrocyte je?
 
Sugu alipomaliza Advance akaanza mziki..
Na hizi ndo album zake..

  • Ni Mimi (1995)
  • Ndani ya Bongo (1996)
  • Niite Mister II (1998)
  • Nje ya Bongo (1999)
  • Millennium (2000)
  • Muziki na Maisha (2001)
  • Itikadi (2002)
  • Sugu (2004)
  • Coming of Age-Ujio Wa Umri (2006)
  • VETO (2009)
  • Antivirus Mixtapes (HII ILIKUWA KIPINDI CHA BIFU NA RUGE)
iLipofika mwaka 2010 akagombea ubunge..
Mwamba kwanini hapewi Udokta wa Heshima.!?
 
Sie maharage hayatutoshi yeye anaanza dili za kutorosha maharagwe, cdm wa hovyo sana, siangewauzia wamarekani
 
Ubunge awaachie wanasiasa

Wanasiasa machokoraa wasiojua uchumi, wanaowafukarisha wananchi, hawatakiwi kabisa.

Tunataka viongozi kama akili Bakhresa, Mo, Sugu, Mbowe na the like ili wawaongoze watu kuelekea kwenye mafanikio ya maendeleo. Siyo watu kama akina Makonda au Mwigulu wanaowaongoza watu kuwa wauaji na wevi wa pesa za wananchi.
 
Waturuki ni wapenzi wa maharage wao huita Kuru Fasulye.

Huyapika maharage kama supu, huchanganya na pilau na pia huchanganya na nyama ambayo huita Etli Kuru Fasulye.

Waturuki watayapenda maharage ya Mbeya maana hayahitaji maji mengi kuyapika.

Ndaga fijo umwana uju.

Aache siasa sasa afanye biashara.
Hapana, tunahitaji sana watu wa aina hii kwenye siasa na uongozi ili wawapeleke watu kwenye mafanikio.

Kiongozi chokoraa na kibaka, atakuongoza, akufikishe wapi?
 
Acha kutuganyana, kama uwezo wako kufikiri sawa na Sugu sema.
Kwanza Waturuki kwa taarifa yako si wazungu, sugu we!
Halafu bilateral agreements hazifanyiki vijiwe vya kahawa na wasela waliovaa vikaptula.
Sema Sugu kaenda tafutiwa dame mitaani Instanbul, tutakuelewa.

Wewe punguani ungetulia, ili wenye akili timamu wachangie hoja.
 
Wanasiasa machokoraa wasiojua uchumi, wanaowafukarisha wananchi, hawatakiwi kabisa.

Tunataka viongozi kama akili Bakhresa, Mo, Sugu, Mbowe na the like ili wawaongoze watu kuelekea kwenye mafanikio ya maendeleo. Siyo watu kama akina Makonda au Mwigulu wanaowaongoza watu kuwa wauaji na wevi wa pesa za wananchi.
Unadhani Makonda na Mbowe ni tofauti?
 
Tupate quantities zinazohitajika, bei zake CIF Instanbul, vipimo vya ubora, lini maharage yanahitajika.
Sugu hana jibu lolote kati ya vigezo tajwa.
Huyu jamaa kaigia ghetto za wasela wenzake Instanbul.
Ukiniambia walikuwa wanajadiliana namna ya kusafirisha misokoto, labda.

Punguani mwingine huyu hapa.
 
Napendekeza hili jambo litangazwe vizuri.. hayo maharage tutamuuzia nani? Wapi? Kwa bei gani? Au tuje PM?? Msimu huu ni wa mavuno ya maharage na tunaendea kilimo cha maharage awamu ya pili ni vyema tungepata taarifa kamili ili tuweze kuwekeza na huko badala ya kuandika habari nzuri kama hii kisiasa tuu. Any way ahsante Sugu naomba vyombo husika visimkwamishe kwa jambo hili kwakuwa tuu yeye ni Mpinzani. Ni vyema maslahi ya mkulima yakatangulizwa kwanza.
Aluta continua... CDE Mtwa mkulu kutoka mgololo
Erythrocyte
 
Kweli waache ushabiki....lakini mbona maharage Tz yana soko kubwa sana kilo hadi Tsh 4000/=
 
Back
Top Bottom