Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,644
- 218,096
Bado haijafahamika hasa sababu ya Wakenya kumpenda kijana huyu mgeni kiasi hiki
Waishaanza matusi kama kawaida !Lumumba viazi vinakwama kooni kwa Hasira
karibu sana mkuuMmmm zero brains in action
Kwa hiyo Hapo ikulu hilo ni jiwe au Flesh n bones?!Hivyo ndio kuiteka Kenya? au hii thread tusubiri ina part 2 mkuu?
nafurahia.nafulahia sana kusikia sugu yupo juu juu zaidi ya yule betina wa mjengoni
Tatizo lako akili yako imekutuma kua nami ni mtu wakubishana mambo ya siasa!! fuatilia comment zngu toka nimejiunga jf,sikumuuliza mleta mada kwa lengo la ubishani wa kisiasa.Kwa hiyo Hapo ikulu hilo ni jiwe au Flesh n bones?!
Pole kwa yaliyokukuta mkuu , vita havina machoTatizo lako akili yako imekutuma kua nami ni mtu wakubishana mambo ya siasa!! fuatilia comment zngu toka nimejiunga jf,sikumuuliza mleta mada kwa lengo la ubishani wa kisiasa.
Sugu kijana mgeni??? Umezaliwa lini?View attachment 1045433
View attachment 1045434
Bado haijafahamika hasa sababu ya Wakenya kumpenda kijana huyu mgeni kiasi hiki
Inasikitisha sana Sugu kaenda kufanya uharifu wa kuwateka wakenya.Waishaanza matusi kama kawaida !
Yamenikuta yepi?Pole kwa yaliyokukuta mkuu , vita havina macho
mara unalia mara unacheka !Yamenikuta yepi?
pole mkuuSugu kijana mgeni??? Umezaliwa lini?