Suggestion ya Jina la Application

tzniceguy

Senior Member
Joined
Jul 7, 2019
Posts
121
Reaction score
72
Habari wana JF,

Nina programm Application ya Kustream Live Television channels kama Ilivyokua kwa Mobdro au LiveNetTv .

Last Year nilitengeneza Kwa jina la Fsociety ila ninahitaji idea ya Jina la kuiita App. any suggestion nita appreciate
 
Ukitaka jina la kitu. Hakikisha unakipa kitu jina la pekee kiasi kwamba ukiingia kwenye google ukasearch linajitokeza jina lako tu. Fsociety ukisearch kwenye google yanajitokeza majina km 200 hivi.
Unaweza ukaangalia jina la ukoo wenu, mahali n.k
Mfano. Mozotv, ndikamaliaonlinetv,
 
Asante Sana kwa Ushauri .
 
Nasubiri app nipakue hakikisha haimalizi MB sana
 
eti Fsociety nimemkumbuka Rami. Jina labda encup nimetoa kwenye encapsulation
 
Niliwahi ku-Google jins ya kuipa jina kampuni au kitu chochote, binafsi nilipenda idea ya kutengeneza jina la kampuni kupitia jina lako

Mfano halisi: mimi ni mpiga picha na jina langu ni Ezekiel hivyo bc jina la kampuni yangu naweza kuiita PHOTOKIEL.
PHOTO ikimaanisha PHOTOgraphy
na
KIEL ikimaanisha ezeKIEL

Photokiel
 
ZUZU

1: Rahisi kutamka
2: Rahis ku brand
3:Rahisi kwa kila kitu
 
Nmeicheki sio mbaya ila ongeza chanel aiseee ni chache sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…