Sugar mummies and daddies

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
5,649
Katika Jamii yetu vijana/mabinti wanapokuwa na mahusiano ya Kimapenzi na watu wanaowazidi umri kwa mbali sana inaonekana kama ni Jambo la ajabu, na ndio maana wale wanaoshiriki mahusiano yanamna hiyo wamekuwa wakipachikwa majina tofauti tofauti kwa vijana mara serengeti boys, maliyoo n.k wakati kwa vikongwe majira yao maarufu ndo kama nilivyoyatumia kwenye heading.

Binafasi Kabla ya Kuoa nimepata kuwa kwenye mahusiano na sugar mummies mara mbili hivi, na zote zililast very smoothly, wa kwanza alihama mji wa pili ni mimi niliama mji (for university thing).

Dhumuni la Post hii ni kudokeza kwamba mahusiano na sugar mummies kwa upande wetu wanaume na daddies kwa upande wa mabinti ni matamu sana, hauwezi kulinganisha na mapenzi na mtu mliye nae rika moja, na zaidi ni kwamba ni mahusiano yenye manufaa ya kila namna kwa upande wa muhusika mwenye umri mdogo, kama ifuatavyo.

Kwanza, Mentorship.
Katika Mahusiano haya kijana/binti anapata nafasi ya kufundishwa na kuelekezwa, iwe mapenzi, au mambo mbali mbali ya kimaisha kwa ujumla

Pili, Displine
Hakuna dharau za kipumbavu, hasa zisizo na kichwa wala miguu, issue za kufokeana fokeana

Tatu, Financial Support
Obvious, kwa umri wake mkubwa atakuwa okay financialy,

Nne, Sifa-Heshima
Hata kwa vijana/mabinti wenzako heshima inakuwapo, sababu unaenda at Pa na mtu mzima, nzuri zaidi kama muhusika ni mtu mwenye wadhifa fulani kwenye Jamii, Imagine kijana anatoka na CEO wa xyz investment Bank.Ni full kuheshimika.

Mahaba
Hapa ndio zaidi, na sina maneno ya kuelezea, lakini kwa kifupi ni kwamba the Aged ones are just fo sweet I am telling you.

wenye mengine, kindly share...
 
sugar daddies wapewe Tuzo/Award
Zahra White
Unajua nini, hii ni natural, Mungu alivyotuumba waja wake ni kwa namna ya ajabu sana, hatuelewi tu. Mungu ametuumba ili tufanye kitu, hivyo tunakuwa tuko na furaha sana na kuenjoy maisha sana pale tunapokuwa na fursa ya kufanya kitu fulani.

Sasa hawa oldies, kwa sababu katika mahusiano ya namna hii huwa immedietly wanachukua role ya kulead basi wanakuwa very happy in need na hicho ndio kinawafanya wawe watamu zaidi, sababu wanaenjoy hayo mahusiano to the fullest pia kwa wa umri mdogo, sijui kwa kuchukulia kwamba maoldies wamekosa kitu huko kwa ages mates zao kwa hiyo na vijana wanaassume role ya kuwapatia maoldies kile kitu roho inapenda, bila kujijua kwamba wanatumia fursa hiyo kufanya kitu, wanakuwa efficient creative ... you can imagine.

tofauti kabisa na age mates, huyu anasubiri kufanyiwa na huyu anasubiri kufanyiwa, they outomatically become inactive, can't imagine what a boring relation full kulaumiana.
 
Back
Top Bottom