Sugar Momy ampa kichapo Kibenten chake!

Sugar Momy ampa kichapo Kibenten chake!

Hahahaa!! Naangalia uwezekano wa kuanguka na pikipiki alafu avimbe mdomo namna hiyo, sijaielewa hiyo ajali bora ungesema ameumwa na nyigu au nyuki
Hahahhahaa
 
Ki Ben 10 naye anayohaki ya kubadili mboga Mara moja moja
 
huyo anafaa kweli kuwa mariooo!!maana dume kabisaa wapigwa na mwanamke mpaka waumuka kabisaaaa kama skonzi...???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom