Sugar Momy ampa kichapo Kibenten chake!

Sugar Momy ampa kichapo Kibenten chake!

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
47,774
Reaction score
256,812
Tukio hili limetokea nchini Zambia baada ya Mwanamama ambaye Mfanyabiashara Mwenye umri wa miaka 54 anayejulikana kwa Jina la Maggie, alimshushia kichapo kizito mpenzi wake mwenye miaka 26 baada ya kumfumania akiwa anafanya mapenzi na mwanamke mwingine Kwenye Gari aliyomnunulia.

Maggie aliamua kuchukua sheria mikononi kumuadhibu mpenzi wake huyo kama mtoto mdogo baada ya kuumizwa kihisia na mpenzi wake.

IMG_20180117_191207_670.jpg
 
View attachment 678022
Makoye gete
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom