Baba Mtakatifu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,324
- 2,435
Mahakama nchini Sudani imewahukumu kifo maafisa 27 wa polisi kwa kuhusika na kifo cha mwalimu mmoja wakati wa maandamano ya kumipinga aliekuwa rais wa nchi hiyo Omar Al- bashir.
Ahmed Alhair aliuwawa na polisi katika maandamano hayo yaliyoanza mnamo mwezi December 2018 yaliyochochewa na kupanda kwa bei ya mkate.
Polisi mjini humo waliripoti kuwa Ahmed alikufa baada ya kupewa sumu, lakini ushahidi ulidhibitisha kuwa marehemu alikutwa na majeraha yaliyoashiria kupigwa sana na polisi.
Note: Haki huwa haipotei, utaichelewesha tu,,, Sasa ndugu zangu mnaojiona sasa hivi mnatawala sawa na Mungu endeleeni.
Sent using Jamii Forums mobile app