Sudani: Maafisa 27 wa Polisi wahukumiwa kifo kwa kumuua muandamanaji

Baba Mtakatifu

JF-Expert Member
Dec 31, 2017
1,324
2,435
Mahakama nchini Sudani imewahukumu kifo maafisa 27 wa polisi kwa kuhusika na kifo cha mwalimu mmoja wakati wa maandamano ya kumipinga aliekuwa rais wa nchi hiyo Omar Al- bashir.

Ahmed Alhair aliuwawa na polisi katika maandamano hayo yaliyoanza mnamo mwezi December 2018 yaliyochochewa na kupanda kwa bei ya mkate.

Polisi mjini humo waliripoti kuwa Ahmed alikufa baada ya kupewa sumu, lakini ushahidi ulidhibitisha kuwa marehemu alikutwa na majeraha yaliyoashiria kupigwa sana na polisi.

Note: Haki huwa haipotei, utaichelewesha tu,,, Sasa ndugu zangu mnaojiona sasa hivi mnatawala sawa na Mungu endeleeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusubiri tuone

Kweli huyo rais hapendwi mpaka na majaji wakuu!! Kibongobogo hilo HALIWEZEKANI

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata huko sudani Walisema hivyo hivyo kuwa haiwezekani, hata Libya tulisema hivyo hivyo, hata Rwanda tulisema hivyo hivyo, Lakini ukumbuke kuwa hata rais magufuli tulisema kuwa hawez kuwa rais, hata mwigulu nchemba, nabe nawiye na January makamba tulisema kuwa hawez kutupwa nje Lakini yote yalikuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli huyo rais hapendwi mpaka na majaji wakuu!! Kibongobogo hilo HALIWEZEKANI

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingne lazima utambue kuwa kila Jambo hupangwa na MUNGU, ulijua kuwa makonda anaweza kuja kuwa na Nguvu kumzid hata waziri mkuuu ?ulijua kuwa joketi anaweza kuja kuwa mkuu we wilaya? MUNGU akiamua kubadilisha hali hutumia njia nyingne ambayo hamuwez kuijua

Mkuu haya ni matumizi mabaya ya jina, Mungu.
 
Wakati mwingne lazima utambue kuwa kila Jambo hupangwa na MUNGU, ulijua kuwa makonda anaweza kuja kuwa na Nguvu kumzid hata waziri mkuuu ?ulijua kuwa joketi anaweza kuja kuwa mkuu we wilaya? MUNGU akiamua kubadilisha hali hutumia njia nyingne ambayo hamuwez kuijua

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hali ya kawaida lazima binadamu tujipe matumaini. Vipo visivyotarajiwa na vimetokea ila kuna vitu haviwezi kwenda kinyume. Asikari aliyemuua akwilina kwa tanzania hii na siasa zake na katiba yake tutarajie aje afungwe mwaka 2055 kitu ambacho hata urefu wa maisha yake haufiki huko. Ukombozi utakuja ila hautowanufaisha walioumia leo. Maana utakuwa wa wengine

Nani kakwambia paka 2055 , huwezi jua mwishoni mwa 2020 ukaskia nyuma geuka, wa mwisho akawa wa kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi mkuu,wakina mbowe si ndio wahusika wakuu walioshtakiwa kwa mauaji ya huyo binti?
Ndiyo mkuu
tapatalk_1576856371253.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku ni kuingilia wajibu wa maafisa wa polisi.Huenda huyo Ahmed alihatarisha usalama.

5/5
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom