Wewe mwenyewe umeishasema wameamua kuhamisha mji mkuu sababu Juba hakuna ardhi sehemu kubwa ni jangwa!

Dar es Salaam, bado kuna ardhi kubwa tena ingine hata kuguswa bado!

mi naona kwa tanzania mji mkuu kwenye makaratasi ndio umehama lakini kwa ujumla bado ni dar na wanazidi tu kuvibana vitu hapahapa dar..

kudos sana nchi yetu ya afrika iliyo bora na inatawaliwa na wamarekani..
Kweli kabisa unachokisema mkuu, kweli kabisa serikali inatakiwa kuamia Dodoma kama alivyosema Nyerere lakini mfano wa wako wa Juba na South Sudan ni mfu!Wala maoni yako siyapingi,,,,,ndio upeo wako wa mawazo umeishia hapo,kwani aliyesema ataihamishia serikali dodoma hakuiona ardhi ya kutosha dar????kuna kiongoz gani ambae katika utetez wa serikali alisema dar kuna ardhi ya kutosha????;

Kweli kabisa unachokisema mkuu, kweli kabisa serikali inatakiwa kuamia Dodoma kama alivyosema Nyerere lakini mfano wa wako wa Juba na South Sudan ni mfu!

Kweli kabisa unachokisema mkuu, kweli kabisa serikali inatakiwa kuamia Dodoma kama alivyosema Nyerere lakini mfano wa wako wa Juba na South Sudan ni mfu!

nilitegemea siku ile ya watawala wote wa wizara walipoitwa na jk dodoma,angetangaza wabaki dodoma kwani ndio makao makuu ya nchi.yahitaji maamuzi magumu
Hilo swali ungemuuliza Mizengo Pinda angekujibu mimi sio magamba!Labda uniambie kwanini serikali ya awamu ya kwanza iliamua dodoma iwe makao makuu??au kama hakuna sababu uniambie pia,vinginevyo unajibu kwa kufikiria kwa tumbo kama si MASABURI;

Hilo swali ungemuuliza Mizengo Pinda angekujibu mimi sio magamba!

Uwezi kufananisha hali ya South Sudan ya miji ya Ramciael na Juba na hali ya miji ya Tanzania Dar es Salaam na Dodoma, lazima akili yako itakuwa Masaburi ni vitu viwili tofauti kabisa

Hapa nadhani aliyeanzisha hii habari alikuwa na nia nzuri tu na simple kutuonyesha kwamba ni kwa kiasi gani wenzetu wanavyoweza kupanga mambo na kutekeleza na si kuishia kwenye makaratasi kama sisi. Sasa mnaotaka kucomplicate kazi kwenu!
Baj, nimekupata nadhani tulikuwa hatajaelewanaRitz,nilichomaanisha mimi ni kwamba kama tanzania tulisema tunahamishia makao makuu dodoma????kwanini tusihamie???sababu ya kuhamia huko ni kwamba dodoma ipo katikati ya nchi so kiusalama ipo vizuri,lakini naijeria waliamisha makao makuu toka Lagos to Abuja,ila kabla ya kuhamisha walikuja kujifunza kutoka dodoma nadhan ile city plan,,,,,kwa hiyo haijalish juba kuna jangwa au uhaba wa ardhi kinachojadiliwa ni ule ytekelezaji wa kuhama,kwanini nasema hivi,tayari suala la dodoma na dar linawachanganya hata watoto wa shule unapowauliza juu ya mji mkuu wa Tanzania,vilevile gharama za kiutawala,ndio maana nikasema SUDAN wanaweza wakafanikisha azma yao sisi bado,maana naijeria wamefanikisha sisi bado na walijifunzia kwetu;
Malawi waliweza, Sudan kusini nao watawezaNaijeria waliweza,na walikuja kujifunzia hapo dodoma baada ya tanzania kutangaza hilo azimio

Baj, nimekupata nadhani tulikuwa hatajaelewana

Malawi waliweza, Sudan kusini nao wataweza

Tanzania tunaweza, tatizo maamuzi magumu

mtoa mada yuko sahihi kabisa, serikali inapiga danadana kuhamia dodoma kwa kipindi kirefu mno, hivi karibuni Mh. waziiri mkuu PINDA alisema serikali inaanda mchakato wa kupata maoni ya wanachi kuhusu kuhamia Dodoma au kutokuhamia! issue ilikua kutekeleza sasa imerudi tena kutafuta maoni ya wanachi ! Serikali legelege , kigeugeu.