Sudan Kusini yazamisha meli yake yenyewe

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Wakuu wa Sudan Kusini wanachunguza sababu ya jeshi kushambulia na kuizamisha meli yao wenyewe kwenye Mto Nile.
120416152201_sudan_304x171_afp_nocredit.jpg


Wanajeshi kumi walifariki na wengine hamsini wametoweka.
Msemaji wa jeshi la Sudan Kusini, Kanali Philip Aguer, amesema meli hiyo ilipita kituo cha ukaguzi usiku bila ya kusimama ingawa ilitakiwa kusimama.
Alisema meli hiyo ilikuwa imebeba wanajeshi kama 170.
 
Poleni wafiwa pamoja na wahanga wengine, Ni juzi tu walikuwa kwenye ushirikiano wa kupeana Mafunzo chini ya Brig Gen Smaytu wa Tanzania na Brig Gen Owens wa Africa/US Army Joint Exercise, yenye makao yake makuu Appoel nchini Italia. Katika mkutano huo, Sudan ilikuwa na wawakilishi wawili. Nchi nyingine zilizohudhuria ni pamoja na Seychelles, Maqambique, Ethiopia, Burundi, Rwanda, South Africa, Djibouti, Kenya, Uganda na Zimbambwe.
 
Jeshi likishafindishwa na wa USA tu lazima kuwe na FRIENDLY FIRE!! Afadhali Jeshi letu lilifundishwa na WACUBA WACANADA na WARUSI laa sivyo tungeshakiona cha moto! Aidha inabidi USA wapeleke jeshi Sudan kusini kwa mkataba kama wa Saudi Arabia.
 
Back
Top Bottom