SUCI COMPANY LIMITED

SUCI COMPANY LIMITED

Kwa mfano, kiwanja cha bei ya chini kina shiling ngap? nami nalipa asilimia ngap kwanza na nalipa ngapi ya iliyobaki kila mwezi?
tuna viwanja mwasonga,kisarawe II na Gezaulole beach plots. .

- Gezaulole beach plots tunauza kwa 25000/sqm na plot ya chini kabisa tuna 530sqm it means total yake ni 13250000

-Kisarawe II tunauza 20000/sqm na plot ya chini kabisa tuna 631sqm it means total yake ni 12620000

-Mwasonga tunauza 8000/sqm na plot ya chini kabisa tuna 556sqm it means total yake ni 4448000

Malipo yake unaanza na asilimia 30% ya bei ya kiwanja haraf utaendelea kulipa taratibu kutokana na makubaliano yetu mkuu

hvo mwasonga na kisarawe II vyote eneo lipo barabara kuu ambayo kama unakujua vizur kigambon basi utakubaliana nami inatengenezwa Lami asaiv

KARIBU TUKUHUDUMIE
 
Asante..
 
Kupitia uzi huu sikutegemea kunikutanisha na watu muhimu kiasi hiki...Asanteni wateja wetu i hope mmefurahia huduma zetu
IMG-20190403-WA0002.jpg
 
Unatafuta partner kutoka nje ya nchi? au unataka kuuza huduma/bidhaa zako ndani na nje ya nchi?
Basi, kutana na viongozi wa biashara wanaonadi biashara zao kupitia mtandao wa lenkeer.com.
Jiunge Bure sasa hii na upate nafasi ya kushida account VIP bure yenye thamani ya $200!
JIUNGE SASA NA USHINDE. https://www.lenkeer.com/register
 
ingawa umeingilia uzi wa biashara yang lakin nimefurah kwa ulichokifanya mana kijana mwenzio anapopigana inakubid ufurahie mana hujui atakuinua wap. ...keep your spirit and focus on what your doing boy
 
Karibuni mana tuna project mpya kwa ajiri ya wateja wetu maeneo ya Goba shelli
 
Mkuu hapa bei gani per sq meter? Umbali gani toka baharini?
ni kilometer moja kutoka usawa wa bahari mkuu hapo ukijenga ghorofa moja tu unaiangalia bahari yote kama ilivyo

price tunauza million 30 hatujaweka kwa sqm ile tumefanya fixed
 
Back
Top Bottom