SUCI COMPANY LIMITED

SUCI COMPANY LIMITED

Write your reply... Acheni utapeli! mlikuja kigamboni mkatupga lak lak kila mwenye kiwanja had leo hamjafanya chochote, endeleeni tu kushrikiana na mtendaji na mwenyekiti kuibia wananchi ipo siku yenu.

4ji
Kingine siku nyingine usifanye hivo kwenye biashara za watu mana wote vijana inatakiwa tufanye biashara za uaminifu tufike mbali nikifanya utapeli leo na umri huu mkuu nitafika kwel isitoshe sisi tupo chini ya sheria za mipango miji ukitushitaki hatuchukui muda lazima tupotee fanya hivo kama tumekuzurumu acha hivo bwana wote tunatafuta maisha hapa
 
Write your reply... ina mwezi ndio lakini maeno mnayopta kupima ndio nyie nyie nawajua tangu kabla, kama unaona naleta mambo ya uongo sawa, kwan hamuwez kulia watu hela kabla ya kufungua kampuni.? we vp mkuu nawajua nyie
Mkuu kwann lakin unafanya hivo nimekuambia jina langu naitwa Utukufu clement mwanjisi sijawah kufanya urasimishaji kigamboni hata siku moja nimefanya urasimishaji pugu kinyamwezi peke yake na nilimaliza kazi yao..kigamboni sisi tumepimia watu binafsi wawili wenye maeneo makubwa na ndo nayauza hapa asaiv
 
Okk

Wishing you a blessed Good Thursday to our customers

karibu tuwahudumie tena
 
"Ukiweka malengo akili inakuwa inatafuta mbinu na mawazo kuhakikisha lile lengo linatimia"

JIAMINI MWAKA WAKO HUU MILIKI KIWANJA KUPITIA SISI
 
SUCI COMPANY Leo jumamosi lakin bado tunaendelea kutoa huduma..

Karibuni sana viwanja vipo na huduma zingine pamoja na ushauri
 
Have New Week people....Lets do this,,,MondayMotivation.

Njoo tushauriane na tukuuzie kiwanja kupitia sisi
 
Na sisi ambao mishahara yetu midogo tunaweza kulipa kidogo kidogo? mi nahitaji kiwanja kigamboni lakini sina uwezo wa kulipa hela yote kwa pamoja
 
Na sisi ambao mishahara yetu midogo tunaweza kulipa kidogo kidogo? mi nahitaji kiwanja kigamboni lakini sina uwezo wa kulipa hela yote kwa pamoja
Tukae mkuu kuna uwezekano wa kukupatia kiwanja mana kigamboni tuna viwanja vya kutosha,,,hata sisi tumelenga watu ambao hata wasipokuwa na uwezo wa kulipa yote lakin wana uhakika kila mwezi kutoa kidogokidogo tunawapatia kiwanja kwa makubaliano maalam hata ukitaka kwa mwanasheria wako au wetu sawa tu ili mradi tufanye biashara kwa uaminifu mkubwa
 
Kwa mfano, kiwanja cha bei ya chini kina shiling ngap? nami nalipa asilimia ngap kwanza na nalipa ngapi ya iliyobaki kila mwezi?
 
Back
Top Bottom