Gomez Luna
Senior Member
- Mar 13, 2017
- 187
- 205
Yan nataka subtitles online kwa ajili ya movie ambayo ishakua downloaded tayar.Unataka ustream online au u add mwenyewe mkuu.
Unataka ustream online au u add mwenyewe mkuu.
Changamoto gn mkuuTumia bs player mkuu sema huwa inachangamoto kidogo kwenye kuzipata hizo subtitle.
Mh ckweli mbona jana tu nimekuwa nikiitumia hiyo MX Player na sub nazipata kama kawaida.
Mda sasa nimekua nikitumia Mx player kudownload subtitles, sasa kuanzia juzi inakataa inaLoad tu mda mrefu bila majibu. Ndo naulza km kuna browser nyngne ambayo ipo km hvyo[emoji115]
click hapo enter your search text kisha futa maneno mengine acha tu jina la movie, kwa case yako acha pirates carribean stranger tides
Mda sasa nimekua nikitumia Mx player kudownload subtitles, sasa kuanzia juzi inakataa inaLoad tu mda mrefu bila majibu. Ndo naulza km kuna browser nyngne ambayo ipo km hvyo[emoji115]
Mkuu na me kwangu inakataa, au ttzo ni mtandao?Mh ckweli mbona jana tu nimekuwa nikiitumia hiyo MX Player na sub nazipata kama kawaida.
Then... UnaziPatch vp na movie husikaMie huwa nadownload subtitles kwenye website ya Subscene.
itakuwa net kama umeshindwa kabisa download subtitle katika websites za subtitles mfano www.Tvsubtitles.net then extract hiyo subtitle iwe inform of [HASHTAG]#srt[/HASHTAG] then ukitumia hiyo hiyo MX Player liingize hilo file pindi unapoitazama movie.Mkuu na me kwangu inakataa, au ttzo ni mtandao?
Shukrani mkuu,ila kwa sasa naona inapiga mzgo km kawaida.itakuwa net kama umeshindwa kabisa download subtitle katika websites za subtitles mfano www.Tvsubtitles.net then extract hiyo subtitle iwe inform of [HASHTAG]#srt[/HASHTAG] then ukitumia hiyo hiyo MX Player liingize hilo file pindi unapoitazama movie.
Hii ndo ya ukweli hautajuta. Tunatumia wahaya wajanjaShukrani mkuu,ila kwa sasa naona inapiga mzgo km kawaida
Mmmh unaitumiaje hyo?Hii ndo ya ukweli hautajuta. Tunatumia wahaya wajanjaView attachment 516914