mtemi tagallah
Senior Member
- Apr 4, 2015
- 101
- 57
Kama Kichwa cha Habari kinavyo Sema, nahitaji mnisaidie namna ya kupata subtitles ya movies ya jamai iraja nä Naagin
Huyo anataka adownload amalizane nazo chap...mambo yakusubir kila week kashindwa[emoji1] [emoji1] [emoji1]Si wanatafsir azam kwa swahil