ukifanya fujo na ukaambiwa usifanye fujo, na wewe ukakaidi, utapigwa tu, maana sasa tumechoka na wapigwe tu, tutabembeleza mpaka lini sasa, mtu ukimaliza muda wa ubunge unalipwa milioni 238, halafu leo unataka kuharibu mkate na kisimu chako cha mchina, utapigwa tu