Subra kidogo ingebadilisha kila kitu

Subra kidogo ingebadilisha kila kitu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,208
Reaction score
829,198
1438188326929.jpg
 
Pepo la Kisasi na roho ya malipizi vinampoteza Job Ndugai na uheshimiwa wake wote
 
Mzee wa foto say All, ningeshangaa usingeweka picha.
But mwaka huu huwa naongea na wanangu waandike hizi kumbukumbu kwa ajili ya future ya watoto wao.
 
Hajafa ni mzima ingawa bado yuko Hospitari, lakini Ndugai ana kesi ya kujibu.
 
sukari haina subira hasira zinakuja ghafla tu
 
Whaaaaat!??? lini hiyo?? maana jana usiku walisema anaendelea pouwa

Yeah habari imegeuka kumbe jamaa hakufa alipoteza tu fahamu kwa muda watu wakadhani ndio ntolee
 
Nadhani job anadhani bado yuko bungeni,hivyo analindwa na kanuni za kiti
 
Back
Top Bottom